Bodaboda za CCM zenye "chata" ya Samia ziko mtaani

Kwa tume huru ya uchaguzi sa100 hawezi kushinda uchaguzi labda Jecha afufuke kuusimamia
 
Lakini halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
 

Hiyo picha na hiyo bendera ingekuwa ya chama fulani, ungesikia tume ya uchaguzi /msajili wa vyama anawahita ofisini kujieleza kwa nini wameanza kampeni mapema kabla ya wakati kufika.
Lakini wao wakifanya hivyo, watasema wanatekeleza ilani ya chama chao
 
Mungu anawaona
 
Ongeeni mtavyoongea nyie chadema kuchukua nchi msahau pwagu nyie
 
Haya sasa.

Hii nayo ni kali kivyake.

Kwa hiyo anapeleka taarifa kuwa ni yeye hapo 2025?

Asipofika huko je? Haya mapikipiki yote yatapelekwa wapi?

Hivi kweli kuna la muhimu sana la kuwatangazia waTanzania hadi uhitaji wa mapiki yote haya yagharimiwe na (nani)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…