Nimechoka Sana
Member
- May 4, 2024
- 37
- 190
Hatucheji hatucheji kwa nini wapost usikuBodi ya wakurupukaji
Taarifa zinaeleza kuwa mchezo wa Kiporo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC umepangwa kufanyika June 15, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa saa kumi na moja jioni (17:00 pm).
Bodi ya ligi imefanya maboresho ya ratiba ya ligi kuu ya NBC na sasa ligi itaisha June 22, 2025.
Hatucheji hatucheji kwa nini wapost usiku
kamatia hapo hapo
Yanga mwaka wa taabuWakuu
Taarifa zinaeleza kuwa mchezo wa Kiporo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC umepangwa kufanyika June 15, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa saa kumi na moja jioni (17:00 pm).
Bodi ya ligi imefanya maboresho ya ratiba ya ligi kuu ya NBC na sasa ligi itaisha June 22, 2025.
Je, Yanga kubaki na msimamo wao wa kutopeleka timu uwanjani?
View attachment 3325755
Elii Mpanzu wenu anajulikana.Na hawana tena kisingizio, wamewapa muda wa kutosha kujiandaa kumkaba Mpanzu
Kwani hata wangepost mchana mngefanyaje?Hatucheji hatucheji kwa nini wapost usiku
kamatia hapo hapo
Eti wanataka ligi isimamiwe na bodi ya maziwa
Wagawe kwanza maziwaEti wanataka ligi isimamiwe na bodi ya maziwa