joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Hiyo mtacheza na bodi ya ligi.Acha maneno
Ratiba mechi ni June 15
Hiyo mtacheza na bodi ya ligi.Acha maneno
Ratiba mechi ni June 15
Mabaunsa wale walikuwa ni wa Yanga? Unacho cha kuprove? Utaingiaje kwenye uwanja wa mtu bila kumpa taarifa mmiliki ambaye mwenye funguo au mabaunsa walikuwa na funguo.
Hiyo mtacheza na bodi ya ligi.
Leta timu tukunyoosheSio mbaya simba kupata ushindi wa mezani maana wamezoea vya kunyonga
Tuwe washindi wanne tukabebe CAF Confederation Cup.
Mtacheza na bodi ya ligi.
😂😂 Mimi ndio maana nafuatiliaga Tu mpira WA ulaya, huko Tanzania NI UCHAFU tuu hakuna mpiraKanuni ni ileile, timu ikigomea mechi, mechi inaahirishwa.
Bodi ya ligi wameintroduce kanuni ya ajabu sana.
Mtacheza na bodi ya ligi.
Hiyo mtacheza na bodi ya ligi.
Unamjua pacome?Na hawana tena kisingizio, wamewapa muda wa kutosha kujiandaa kumkaba Mpanzu
Mtacheza na bodi ya ligi.
Tunafuata fixture yetu inavyosema.Sasa wewe kinakuwasha nini Yanga kigomea hiyo mechi, wewe si umegoma sasa cha ajabu kipi,kila taasisi na maamuzi yake.
Mnacholalamika nini sasa wakati mnajua kila taasisi ina maamuzi yakeTunafuata fixture yetu inavyosema.Sasa wewe kinakuwasha nini Yanga kigomea hiyo mechi, wewe si umegoma sasa cha ajabu kipi,kila taasisi na maamuzi yake.
Kumbe unajua kila taasisi ina maamuzi yake,maamuzi ya Yanga ndio hayo wanayo ya simamia.Halafu baadae ndio itafahamika, wewe uliamua kugoma, Yanga nae kaamua hatocheza mechi nyingine ya derby sasa ww unawashwa nini kwa walicho kiamua Yanga,kama adhabu watapata Yanga.Mnacholalamika nini sasa wakati mnajua kila taasisi ina maamuzi yake
Msiilalamikie maamuzi ya Simba tarehe 8 March
Msiilalamikie maamuzi ya TPBL
HAKUNA ANAELALAMIKIA maamuzi ya TAASISI YENU June 15
Hakuna atakaelalamikia maamuzi ya TPBL baada ya June 15.
Simpo
Kumbe unajua kila taasisi ina maamuzi yake maamuzi ya Yanga ndio hayo wanayo ya simamia.Halafu baadae ndio itafahamika, wewe uliamua kugoma, Yanga nae kaamua hatocheza mechi nyingine ya derby sasa ww unawashwa nini kwa walicho kiamua Yanga,kama adhabu watapata Yanga.
Mtacheza na bodi ya ligi.
Hiyo mtacheza na bodi ya ligi.
Simba wakiamini yanga hawachezi kweli watakufa nyingi zaidi ya ile 5-1Sio mbaya simba kupata ushindi wa mezani maana wamezoea vya kunyonga