Hata wangepost mchana mngefanya nn. Lete timu mmalizane na MpanzuHatuchezi kwa nini wapost usiku
Mpanzu uyu mwenye mechi 15 Goli tatu akawakoseshe Yanga usingizi!! Hakika aliye waita Mbumbumbu hakukoseaHata wangepost mchana mngefanya nn. Lete timu mmalizane na Mpanzu
Haya, hiyo hapo sasa imepangwa tarehe 15 June 2025, Jumapili saa 11 jioni.Mliokataa kucheza si ni nyie na mkakimbia mechi kisa mabaunsa na mlikua na fomu mbaya sana mngetandikwa vya kutosha
Inaahirishwa wakati wewe ndiyo timu mwenyeji?Kanuni ni ileile, timu ikigomea mechi, mechi inaahirishwa.
Bodi ya ligi wameintroduce kanuni ya ajabu sana.
Bodi ya wakurupukaji
Mabaunsa wale walikuwa ni wa Yanga? Unacho cha kuprove? Utaingiaje kwenye uwanja wa mtu bila kumpa taarifa mmiliki ambaye mwenye funguo au mabaunsa walikuwa na funguo.Inaahirishwa wakati wewe ndiyo timu mwenyeji?
Mkiweka tena mabaunsa getini Simba wakashindwa kuingia na mbuzi na wale wazee wafupi inakula kwenu. Na CAS imeshawashtukia kuwa hamnazo hamwezi kurudi tena
Jaribu uone. Kugomea is not for everybadeKanuni ni ileile, timu ikigomea mechi, mechi inaahirishwa.
Nnhahaa na bodi ya parole ya mzee mremaEti wanataka ligi isimamiwe na bodi ya maziwa
Hawa jamaa mpaka warudishe nyuma mwiko, sasa ni mbele daima, tutasikia mengi.
Mpanzu uyu mwenye mechi 15 Goli tatu akawakoseshe Yanga usingizi!! Hakika aliye waita Mbumbumbu hakukosea
Tuwe washindi wanne tukabebe CAF Confederation Cup.
Acha manenoMabaunsa wale walikuwa ni wa Yanga? Unacho cha kuprove? Utaingiaje kwenye uwanja wa mtu bila kumpa taarifa mmiliki ambaye mwenye funguo au mabaunsa walikuwa na funguo.