Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tatizo sio kuleta timu uwanjani ,tatizo mtazoea tabia ya kukimbia kimbia kila mkinusa harufu ya kichapo cha nguvu
Haya, hiyo hapo sasa imepangwa tarehe 15 June 2025, Jumapili saa 11 jioni.
Kama kweli mnaamini tulikimbia leteni timu uwanjani. Au majini yenu hayataki?