Bodi ya ligi haitanii, yatoa ratiba ya derby ya Kariakoo. Sasa kupigwa Juni 15, 2025

Bodi ya ligi haitanii, yatoa ratiba ya derby ya Kariakoo. Sasa kupigwa Juni 15, 2025

Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo.

Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15, 2025, saa 11:00 Jioni uwanja wa Benjamin Mkapa.

Hii inajiri masaa machache baada ya Klabu ya Yanga kuweka msimamo kuwa hawachezi mechi husika baada ya kudondokea pua kule CAS.

View attachment 3325746

Pia soma Bodi ya ligi kupanga ratiba mpya ya derby ni kudharau maamzi ya CAS
Yanga haiingizi timu uwanjani
 
Yanga wakishindwa kabisa kupata haki yao wanaweza kupeleka kesi mahakamani.

Halafu tuone nani ataathirika
 
Back
Top Bottom