Bodi ya ligi haitanii, yatoa ratiba ya derby ya Kariakoo. Sasa kupigwa Juni 15, 2025

Tunafuata fixture yetu inavyosema.Sasa wewe kinakuwasha nini Yanga kigomea hiyo mechi, wewe si umegoma sasa cha ajabu kipi,kila taasisi na maamuzi yake.
Mnacholalamika nini sasa wakati mnajua kila taasisi ina maamuzi yake
Msiilalamikie maamuzi ya Simba tarehe 8 March
Msiilalamikie maamuzi ya TPBL

HAKUNA ANAELALAMIKIA maamuzi ya TAASISI YENU June 15

Hakuna atakaelalamikia maamuzi ya TPBL baada ya June 15.

Simpo
 
Kumbe unajua kila taasisi ina maamuzi yake,maamuzi ya Yanga ndio hayo wanayo ya simamia.Halafu baadae ndio itafahamika, wewe uliamua kugoma, Yanga nae kaamua hatocheza mechi nyingine ya derby sasa ww unawashwa nini kwa walicho kiamua Yanga,kama adhabu watapata Yanga.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…