Haya, hiyo hapo sasa imepangwa tarehe 15 June 2025, Jumapili saa 11 jioni.
Kama kweli mnaamini tulikimbia leteni timu uwanjani. Au majini yenu hayataki?
Mtacheza na bodi ya ligi.
Unataka wafanyeje? Kucheza ni lazima. Hutaki, points zinakwenda.Watatema ndoano hao bodi ya league hizi timubl Zina nguvu kuliko Chadema na ccm na hakuna virungu maana hata hao ma Police ni sehemu ya hizi team, ni wakati sqsa Young Africans wauonyeshe ulimwengu kwamba bodi ya league sio kila kitu
Hajalazimishwa mtu. Wamepangwa kwenye ratiba kadri ya kanuni zinavyotaka. Maamuzi ya kwenda au kutokwenda ni ya Yanga. Hakuna aliyelazimishwa hapo. Acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao. Kwahiyo ulitaka wasipangwe kwenye ratiba sio? Au sijaelewa ulichomaanisha?Bodi ya login ni Sawa na ccm 😂😂,mnalazimisha watu kucheza Kwanini? Chukueni hatua wapokonywe pwotwii msipoteze muda!. Marefa ni wao, viongozi wa TFF na Bodi ya ligi ni wao afu mnalazimisha kuchezwa mechi Ili iweje!
Ni Sawa na ccm inayoilazimisha chadema kuingia kwenye uchaguzi ambao wasimamizi na viongozi wa tume ya uchaguzi ni kina TATU MALOGO😂.
#HATUCHEZI
Unataka wafanyeje? Kucheza ni lazima. Hutaki, points zinakwenda.
Fyeka point 15 kenge nyie na faini juu ..mkome kuzuia timu uwanja wa taifa ..ule uwanja ni mali ya serikali sio mali yenu kenge wakubwa nyinyiHaitanii kwasababu ni Yanga, Ila tarehe 8 ilitania 😀 aingie Mguto, Try again wakacheze
Kenge no wewe uliyemkimbia Pacome tar 8 😀 Fyekeni hata 30 HATUCHEZI!Fyeka point 15 kenge nyie na faini juu ..mkome kuzuia timu uwanja wa taifa ..ule uwanja ni mali ya serikali sio mali yenu kenge wakubwa nyinyi
Haitatokea.Unataka wafanyeje? Kucheza ni lazima. Hutaki, points zinakwenda.
Bodi ya ligi walishindwa kufata kanuni toka siku ya kwanza.kanuni zinavyotaka.
Hakuna cha mtu kati hapo. Tarehe imepangwa, leteni timu uwanjani. Nje ya hapo, points tatu kwaheri. Yanga wamekuwa kama crybabies kwa sasa. Vurugu waanzishe wao, kulia walie wao.Bodi ya ligi walishindwa kufata kanuni toka siku ya kwanza.
Ukizuia mgeni kufanya mazoezi kabla ya mechi husikia, kanuni haisemi kuzuia mechi, kanuni inataka aliefanya hivyo apigwe faini. Je bodi ilifanya hayo?
Walisema kuna tuhuma za rushwa TAKUKURU walikana na ndio wenye mamlaka ya kuthibitisha hayo.
Uvunjifu wa amanj POLISI walikana na ndio wenye dhamana na ulinzi.
Barua ya bodi ya ligi walisema watatoa taarifa za kina baada ya uchunguzi, je umewahi kusikia wakitoa taarifa kabla ya kupanga tarehe?
Simba na Yanga hawana kosa, wote wamepata loophole, aliekosea ni bodi ya ligi ndio maana wote wamemuweka mtu kati.
Time will tell.Hakuna cha mtu kati hapo. Tarehe imepangwa, leteni timu uwanjani. Nje ya hapo, points tatu kwaheri. Yanga wamekuwa kama crybabies kwa sasa. Vurugu waanzishe wao, kulia walie wao.
Ni zamu yenu kukimbia tarehe 15 JuneTatizo sio kuleta timu uwanjani ,tatizo mtazoea tabia ya kukimbia kimbia kila mkinusa harufu ya kichapo cha nguvu
Ni zamu yenu kukimbia tarehe 15 June
Ukisoma records itasoma Yanga ilikimbia derby 2025. Mpaka sasa hakuna records za Simba kukimbia derby 2025