Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu tusiongee vitu kwa mihemko na ushabikiLile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
Mivichwa samaki tayari mmeanza kulia Lia kama kawaida yenu...! Mpira ujae halafu urudi wenyewe uwanjani?. Kwa sababu ni YANGA ndio sheria ivunjwe,ilazimishwe liwe goli ksbb yeye nani?Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
Yani si goli kwa sababu mpira ulitoka nje?Ndiyo utetezi gani huo?😂😂😂Mkuu hebu tusiongee vitu kwa mihemko na ushabiki
Tuongee UKWELI!
Ule mpira kama uliingia ndani ikawaje uyoke nje?
Inamaana uligonga mstari wa goli?
Utetezi dhaifu.Umewahi kusikia neno "curve"?Kwa akili yako mpira ungeingia ungewezaje kutoka tena nje bila kuguswa na mtu?
Weka video
SijawahiUtetezi dhaifu.Umewahi kusikia neno "curve"?
Fumba macho uombewe dua njema.Sijawahi
Kunywa maji mwanangu.Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
Tuliza akili zako hiyo ni teknolojia tu italipa taabu sana.Kunywa maji ulale nroImagine anayebishana na huyu jamaa huko mtaani anakua ana hali gani. Kama kinachoonekana wazi kabisa je kisipoonekana?
Inaonekana uko stimu, ila tupo pamoja.Tuliza akili zako hiyo ni teknolojia tu italipa taabu sana.Kunywa maji ulale nro