Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
duniani since 1979 lkn akili bado kama wa 2010
 
Yani si goli kwa sababu mpira ulitoka nje?Ndiyo utetezi gani huo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mpira ulivuka mstari kwa asilimia 100 imekuwaje ukapitiliza hadi nguzo ya pili pasipo hata kuigusa hiyo nguzo wala nyavu? Hilo swali la msingi
 
Nyakati zimebadilika! Nyakati hizi anarogwa mpaka refa.
 
rejea mameload vs young na jkt tanzania vs yanga, yanga walifunga(kwa mtindo huohuo na mnabariki kuwa goli) magoli lakini yalikataliwa,tuambieni je yalikuwa halali ama la?
 
Back
Top Bottom