Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkileta timu tunamtuma edna Lema awafunge na Yanga PrincessYanga shikilia hapo hapo, Bodi & TFF shikilia hapo hapo tangaza tarehe leteni refa tupate point za bure
Sema ukiangalia movie ya kuporwa point 3Simba tupo na popcorn tukiangalia movie la kivita. Ubaya ubwela.
Kufungwa mara ya 5 ni laZima hamtakimbia MILELE labda mhamie BurundiSimba tupo na popcorn tukiangalia movie la kivita. Ubaya ubwela.
Hahaha. Ngoja tuone. Simba ilishacheza kete yake ya ubaya ubwela, TFF ikacheza, Zamu ya Yanga sasa.Sema ukiangalia movie ya kuporwa point 3
Ushafika CAS mkuu? Wenzako wanakula posho za safari ujue.Kufungwa mara ya 5 ni laZima hamtakimbia MILELE labda mhamie Burundi
Hiyo haepushi kuwafunga 5imba mara ya 5 mfululizoUshafika CAS mkuu? Wenzako wanakula posho za safari ujue.
Najiuliza hivi, huyu bwana anasema bodi ya ligi hawajafanya maamuzi, kwani;Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne, Uswisi, baada ya kutoridhishwa na majibu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Soma: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Licha ya hatua hiyo, hakuna kiongozi yeyote aliyekubali kunukuliwa kwa jina, wakidai kuhofia mamlaka za soka na serikali. Hata hivyo, inadaiwa kuwa CAS itawasiliana rasmi na TFF pamoja na Bodi ya Ligi ili kuthibitisha kupokea rufaa hiyo. Yanga inasisitiza kuwa haijaridhika na maamuzi ya ndani, hivyo imechukua hatua hiyo kutafuta haki kwenye chombo cha juu zaidi cha usuluhishi wa michezo duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa hilo suala limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha, akisisitiza kuwa maamuzi ya mwisho ya bodi bado hayajatolewa, akiamini kuwa suluhu inaweza kupatikana kupitia vikao vya ndani. Ameeleza kuwa busara na hekima zinapaswa kutumika ili kila upande uridhike badala ya kupeleka suala hilo nje ya nchi.
Chanzo: Mwananchi
Utopolo nyie mbona mliahirisha mechi kusogezwa dakika 60 tuKwa hili Bodi ya Ligi na Simba waliyumba sana. Zipo kanuni nyingi za ligi, sasa haiwezekani kila timu pinzani inapokiuka kanuni mojawapo kuelekea mchezo hitimisho liwe kuahirisha mchezo husika. Kuna timu ililazimishwa kucheza bila ambulance kinyume na kanuni na baadhi ya viongozi wao walifungiwa; inakuwaje Simba "kuzuwiwa tu na vibaka" kufanya mazoezi mechi inaahirishwa? Yapo mazingira yanaweza fanya mechi kuahirishwa lakini hili la Simba sidhani kama ni miongoni. Kwa mazingira ya Tanzania na kwa ligi yetu TFF na Bodi ya Ligi wanajitengenezea mazingira magumu huko mbeleni na inaweza kuja kuleta mgogoro mkubwa zaidi. Msimu uliopita kule Kaitaba Azam hawakuwashiwa taa za uwanjani wakati wa kufanya mazoezi na iliwalazimu kutumia taa za magari.
Utopolo nyie mbona mliahirisha mechi kusogezwa dakika 60Kwa hili Bodi ya Ligi na Simba waliyumba sana. Zipo kanuni nyingi za ligi, sasa haiwezekani kila timu pinzani inapokiuka kanuni mojawapo kuelekea mchezo hitimisho liwe kuahirisha mchezo husika. Kuna timu ililazimishwa kucheza bila ambulance kinyume na kanuni na baadhi ya viongozi wao walifungiwa; inakuwaje Simba "kuzuwiwa tu na vibaka" kufanya mazoezi mechi inaahirishwa? Yapo mazingira yanaweza fanya mechi kuahirishwa lakini hili la Simba sidhani kama ni miongoni. Kwa mazingira ya Tanzania na kwa ligi yetu TFF na Bodi ya Ligi wanajitengenezea mazingira magumu huko mbeleni na inaweza kuja kuleta mgogoro mkubwa zaidi. Msimu uliopita kule Kaitaba Azam hawakuwashiwa taa za uwanjani wakati wa kufanya mazoezi na iliwalazimu kutumia taa za magari.
Sasa kama mnajiamini kuifunga Simba kwanini mmekimbilia CAS kutafuta alama za mezani wakati hakuna procedures zilizofuatwa ili timu ipewe alama za mezani?Mkileta timu tunamtuma edna Lema awafunge na Yanga Princess
Yaani hamtakimbia kufungwa na Yanga Kwa mara ya 5 mfululizo