Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Stay tunedWameenda wapii? Hiyo taarifa rasmi kutoka kwa Yanga iko wapi?
Stay tunedWameenda wapii? Hiyo taarifa rasmi kutoka kwa Yanga iko wapi?
Yanga ikienda CAS kwa sababu ya kesi hii nipigwe ban ya miaka 2Stay tuned
Timu gani sasa inayostahili kushushwa daraja?Wamechanganyikiwa kumbe kuna timu inatakiwa ishushwe daraja
Tusubiri maamuzi ya CAS lakini kwa faida yako tafuta sauti ya mwenyekiti wa bodi ya Ligi kama una uwezo mzuri wa kutafsiri taarifa utapata jibuTimu gani sasa inayostahili kushushwa daraja?
Hakuna lolote mwisho wa siku hii issue itaisha kizembe kabisa yanga acheni kujisumbuaKwani si mlitoka hadharani mkanadi adui wenu namba 1 ni YANGA anafuatiwa ni SINGIDA BIG STAR?
Haya sasa UBAYA UBWELA UBAYA UBWEGE.
Fuateni sheria ,kanuni na taratibu za soka sio kufuata busaraSakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne, Uswisi, baada ya kutoridhishwa na majibu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Soma: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Licha ya hatua hiyo, hakuna kiongozi yeyote aliyekubali kunukuliwa kwa jina, wakidai kuhofia mamlaka za soka na serikali. Hata hivyo, inadaiwa kuwa CAS itawasiliana rasmi na TFF pamoja na Bodi ya Ligi ili kuthibitisha kupokea rufaa hiyo. Yanga inasisitiza kuwa haijaridhika na maamuzi ya ndani, hivyo imechukua hatua hiyo kutafuta haki kwenye chombo cha juu zaidi cha usuluhishi wa michezo duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa hilo suala limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha, akisisitiza kuwa maamuzi ya mwisho ya bodi bado hayajatolewa, akiamini kuwa suluhu inaweza kupatikana kupitia vikao vya ndani. Ameeleza kuwa busara na hekima zinapaswa kutumika ili kila upande uridhike badala ya kupeleka suala hilo nje ya nchi.
Chanzo: Mwananchi
Hakuna kanuni inaipa mamlaka Bodi kuvunja mchezo bila sababu za msingiKanuni zipo wazi ili timu ipewe alama za mezani maana yake lazima protocol zote zifuatwe sio unadai alama za mezani wakati hakuna hata protokali iliyofanyika.
Mechi iliahirishwa ili bodi ya ligi ijipe muda wa kutosha kufanya uchunguzi wa tukio la Simba kuzuiliwa kufanya mazoezi kwa mujibu wa kanuni kitu kilichopelekea Simba kufanyiwa vitendo vya uvunjifu wa amani.
Sasa mechi imeahirishwa kwa mamlaka waliyokuwa nayo bodi ya ligi kuu wewe unapeleka timu uwanjani huku ukijua mechi haipo halafu unataka alama tatu za mezani.
Kiukweli pale Yanga panahitajika mabadiliko ya kiuongozi kuanzia idara ya sheria hadi Rais wa klabu maana huwa wanafanya mambo kwa kukurupuka.
Azam ilipozimiwa taa uwanja wa Kaitaba ikashindwa kufanya mazoezi, hawakususia mechi bali walicheza na kushinda mchezo ule. Vile vile SImba walipofanyiwa fujo huko Mwanza CCM Kirumba, wakati wanafanya mazoezi hawakususia mechi, bali walicheza na wakashinda. Safari hii hwa Simba baada ya kuona hawatatoboa, wakalzimisha mambo ambayo sasa yanaivunjia heshima ligi yetu.Hakuna kanuni inaipa mamlaka Bodi kuvunja mchezo bila sababu za msingi
Siku ile hakukuwa na sababu yoyote ya msingi kuahirisha mchezo.
1. Simba walizuiliwa kufanya Mazoezi.
Kanuni imeenda mbali, imesema ikiwa timu itazuiliwa kufanya mazoezi basi timu iliyozuia itapigwa faini mil 2.
Hapo hakuna option ya kuahirisha mechi maana kanuni imetoa adhabu ikiwa mtazuiliwa.
2. Adhabu inatolewa baada ya Mchezo, hivyo hiyo kanuni inakuonesha wazi mchezo utaendelea lkn wewe uliyemzuia mgeni kufanya mazoezi unapigwa faini ya Mil 2.
3. Unapotoa hoja TUMIA AKILI
Taja kanuni inayoizuia bodi kuahirisha mechi kwa mazingira yoyote inayodhani inafaa kuahirishwa.Hakuna kanuni inaipa mamlaka Bodi kuvunja mchezo bila sababu za msingi
Siku ile hakukuwa na sababu yoyote ya msingi kuahirisha mchezo.
1. Simba walizuiliwa kufanya Mazoezi.
Kanuni imeenda mbali, imesema ikiwa timu itazuiliwa kufanya mazoezi basi timu iliyozuia itapigwa faini mil 2.
Hapo hakuna option ya kuahirisha mechi maana kanuni imetoa adhabu ikiwa mtazuiliwa.
2. Adhabu inatolewa baada ya Mchezo, hivyo hiyo kanuni inakuonesha wazi mchezo utaendelea lkn wewe uliyemzuia mgeni kufanya mazoezi unapigwa faini ya Mil 2.
3. Unapotoa hoja TUMIA AKILI
Naunga mkono hoja Bodi kujiuzulu na yeyote anayeunga mkono utendaji mbovu wa Bodi hii.Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne, Uswisi, baada ya kutoridhishwa na majibu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Soma: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Licha ya hatua hiyo, hakuna kiongozi yeyote aliyekubali kunukuliwa kwa jina, wakidai kuhofia mamlaka za soka na serikali. Hata hivyo, inadaiwa kuwa CAS itawasiliana rasmi na TFF pamoja na Bodi ya Ligi ili kuthibitisha kupokea rufaa hiyo. Yanga inasisitiza kuwa haijaridhika na maamuzi ya ndani, hivyo imechukua hatua hiyo kutafuta haki kwenye chombo cha juu zaidi cha usuluhishi wa michezo duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa hilo suala limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha, akisisitiza kuwa maamuzi ya mwisho ya bodi bado hayajatolewa, akiamini kuwa suluhu inaweza kupatikana kupitia vikao vya ndani. Ameeleza kuwa busara na hekima zinapaswa kutumika ili kila upande uridhike badala ya kupeleka suala hilo nje ya nchi.
Chanzo: Mwananchi
Heshima yako kaka .Kusema haujafanya maamuzi wakati tayari ulishafanya maamuzi ya kuahirisha pambano ni maamuzi pia.
Hii hekima na busara ingetumika tokea awali, wasingefika hatua hii.