Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kushushwa daraja kwa kugomea matchKuinusuru Simba kwa kitu gani
Kushushwa daraja kwa kugomea matchKuinusuru Simba kwa kitu gani
Nakala ni tangazo la Bodi kuwa match kupangiwa tarehe nyingine,una jinguneMimi mwenyewe nashangaa hizo habari za CAS. Utaendaje CAS wakati hukumu ya ndani bado haijatoka? Kitu cha kwanza watakuuliza nakala ya hukumu ya ndani iko wapi, Yanga watawapa nini, mahojiano ya redio?
Yanga na vibaraka wake wanataka tu kuipa presha TFF na Bodi ila hawana hata hela ya kwenda huko CAS. Wanasumbua tu mahakama wakijua wao ndiyo wahalifu.
Simba itoe hapo.Hii ngoma ya wakubwa nyie wanuka mikojo hamuiwezi,mpaka sasa Yanga 3 vs Bodi/Maria/Simba 0
Simba walikoseaje?
Simba walifahamu hii game hawataki kucheza Sababu key player ni majeruhi kina chemalone,camara ..... Kwahio wakatumia Sababu dhaifu kuwa wamezuiliwa kufika uwanjani (Siku zote MDA WA dabi hizi Timu zinajifichaga au niseme hawana utaratibu WA kwenda uwanjani Siku moja kabla ya game) na hata kama wangeenda utaratibu ni kuwa unatoa taarifa kwa mwenyeji kuwa nakuja uwanjani na yeye ataandaa mazingira yote vizuri special for you (Simba hapa hakufanya haya yote maana hata report ya kuahirisha mech ya TFF Ilisema hivo)Simba walikoseaje?
Hakuna kanuni inayosema utoe taarifa kwa mwenyeji punguza uroporopoSimba walifahamu hii game hawataki kucheza Sababu key player ni majeruhi kina chemalone,camara ..... Kwahio wakatumia Sababu dhaifu kuwa wamezuiliwa kufika uwanjani (Siku zote MDA WA dabi hizi Timu zinajifichaga au niseme hawana utaratibu WA kwenda uwanjani Siku moja kabla ya game) na hata kama wangeenda utaratibu ni kuwa unatoa taarifa kwa mwenyeji kuwa nakuja uwanjani na yeye ataandaa mazingira yote vizuri special for you (Simba hapa hakufanya haya yote maana hata report ya kuahirisha mech ya TFF Ilisema hivo)
•Pia Kosa la kikanuni linaadhibiwa kikanuni kwamba umezuiliwa kufanya mazoezi basi Yanga anaadhabiwa na TFF ,Hauwezi kugomea mech kizembe hivo Kwani mara ngapi Simba na Yanga wanafanyiwa fujo uarabuni na mech zinacheza ,ila waarabu wanapigwa faini
Hakuna posho.Sasa mkuu posho utalipiwa zoom?
Hata hilo neno lenyewe nimeandikiwa tu hapa mkuu sijui hata kuliandika.Tangu ujue neno protocol kila sentence lazima utaje protocol.
pangeni tarehe ,tunawakanda x5 ,jana ilikuwa sms tuHahaha. Ngoja tuone. Simba ilishacheza kete yake ya ubaya ubwela, TFF ikacheza, Zamu ya Yanga sasa.
Nilikuwa naiheshimu yanga kama mojawapo ya team kubwa lkn kwa yanayoendelea saiv naweza kusema yanga ina viongozi wa hovyo sanaSakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne, Uswisi, baada ya kutoridhishwa na majibu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Soma: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Licha ya hatua hiyo, hakuna kiongozi yeyote aliyekubali kunukuliwa kwa jina, wakidai kuhofia mamlaka za soka na serikali. Hata hivyo, inadaiwa kuwa CAS itawasiliana rasmi na TFF pamoja na Bodi ya Ligi ili kuthibitisha kupokea rufaa hiyo. Yanga inasisitiza kuwa haijaridhika na maamuzi ya ndani, hivyo imechukua hatua hiyo kutafuta haki kwenye chombo cha juu zaidi cha usuluhishi wa michezo duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa hilo suala limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha, akisisitiza kuwa maamuzi ya mwisho ya bodi bado hayajatolewa, akiamini kuwa suluhu inaweza kupatikana kupitia vikao vya ndani. Ameeleza kuwa busara na hekima zinapaswa kutumika ili kila upande uridhike badala ya kupeleka suala hilo nje ya nchi.
Chanzo: Mwananchi
Msimu unaofuata itabidi tuwe na ligi mbili ligi itakayoongozwa na kanuni pia kuwepo ligi itakayoongozwa na busaraSakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne, Uswisi, baada ya kutoridhishwa na majibu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Soma: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Licha ya hatua hiyo, hakuna kiongozi yeyote aliyekubali kunukuliwa kwa jina, wakidai kuhofia mamlaka za soka na serikali. Hata hivyo, inadaiwa kuwa CAS itawasiliana rasmi na TFF pamoja na Bodi ya Ligi ili kuthibitisha kupokea rufaa hiyo. Yanga inasisitiza kuwa haijaridhika na maamuzi ya ndani, hivyo imechukua hatua hiyo kutafuta haki kwenye chombo cha juu zaidi cha usuluhishi wa michezo duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa hilo suala limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha, akisisitiza kuwa maamuzi ya mwisho ya bodi bado hayajatolewa, akiamini kuwa suluhu inaweza kupatikana kupitia vikao vya ndani. Ameeleza kuwa busara na hekima zinapaswa kutumika ili kila upande uridhike badala ya kupeleka suala hilo nje ya nchi.
Chanzo: Mwananchi
Huna khabari?Hakuna posho.
Hakuna kanuni eeh ,.... Kanuni inasema tatizo likitokea kwa mgeni WA mchezo ikiwemo kukosa Hali nzuri ya kimchezo mwenyeji WA mchezo Ndio anaadhabiwa huonagi kwa waarabuHakuna kanuni inayosema utoe taarifa kwa mwenyeji punguza uroporopo
Hiyo ya kusema kwamba hawakutaka kwa sababu ya key player pia ni uongo na kupiga ramli
Hamna hata hela ya kwenda huko CAS. Mnatutingishia tu makalio halafu utamu hamtaki kutoa.Nakala ni tangazo la Bodi kuwa match kupangiwa tarehe nyingine,una jingune
Yanga lazima mtumie busara. CAS huko kutaenda kubumbuluka mambo hatere. Haitakua derby ya Machi 8 tu. Kutazuka penalti na red cards za mchongo, magoli ya offside wanayonufaika nayo timu moja pekee.Busara na hekima!?, kanuni waliweka za nini hawa wapuuzi, kwa timu nyingine kanuni zifuatwe lakini kwa simba ni busara?
Wamechanganyikiwa kumbe kuna timu inatakiwa ishushwe darajaLeo crown kuna kiongozi wa TFF amekanusha kuwa hawajapokea barua yeyote ya Yanga na wala wao hawajajibu chochote.
Lakini kuna muda tena akasema wao kila siku wanafanya mawasiliano na vilabu kwa njia ya barua.
Kiukweli wanachanganya sana.
Usiamini kila unachoona na kusikia. Huku mitaani na mitandaoni tunaparurana kumbe walioliseti hili jambo wamekaa wametulia tuli.Muda ule Simba wamezuiliwa na mlinzi au na wahuni, hapakuwa na lines of communication kati ya SIMBA, BODI, TFF, Bosi wa mlinzi wa uwanja, WIZARA, YANGA, OCD na RPC ???????
Ulaya hilo jambo lisingetokea kwa saab wakuu wa vyombo kama hivyo wanapatikana muda wowote kufanya maamuzi ya kimamlaka kwa dharura muda wowote haswa kuelekea maandaliI ya tukio kubwa kuliko yote kwenye ligi.
Huku kwetu bendera ikishashuka na mamlaka zinaenda kulala na familia zao. Kwa wenzetu bendera haishuki jioni, himaya inasimama masaa 24.
Na Kagame anajua, akitaka urahisi aje jioni.
Mbona wameendaHamna hata hela ya kwenda huko CAS. Mnatutingishia tu makalio halafu utamu hamtaki kutoa.
Wameenda wapii? Hiyo taarifa rasmi kutoka kwa Yanga iko wapi?Mbona wameenda
Kwani si mlitoka hadharani mkanadi adui wenu namba 1 ni YANGA anafuatiwa ni SINGIDA BIG STAR?Nilikuwa naiheshimu yanga kama mojawapo ya team kubwa lkn kwa yanayoendelea saiv naweza kusema yanga ina viongozi wa hovyo sana
Yani wanahangaika harafu ukifikilia kinachowatesa sana yanga ni ukubwa WA Simba hakuna kingine maana kwa afrika Simba ni team yenye status kubwa kuliko yanga
Na mi namini kabisa huu mgogoro ungetokea baina ya yanga na azamu au yanga na kmc Jamba lingemalizika kirahisi sana ila kwakuwa ni Simba ndiomana mambo yanakuwa mengi
Ila mwisho wa siku yanga ataishia kupata aibu hata akienda huko CAS coz hawana hoja za msingi uongozi unaendeshwa kwa hisia na sio uhalisia wa mambo
Kamdomo ndio usiseme mala leo utasikia Haji kasema lile mala kesho anaibuka kiongozi mwingine nae anaongea lile mwisho wa siku kupitia hayo maneno inajikuta imevunja kanuni