Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Vita ya wanandugu Simba wasiingilie!
Hamna namna hili swala alikosea Simba katupiwa mpira Bodi ya Ligi kazi kwake apambaneBoard inayo pima upepo, imejifungia kwenye kibanda umiza wanataka kutoka wanaangalia nje daa upepo umezidi wakusubiri miujiza fulani hivi
Simba walikoseaje?Hamna namna hili swala alikosea Simba katupiwa mpira Bodi ya Ligi kazi kwake apambane
Simba walitupa jiwe gizaniSimba walikoseaje?
Simba wamewapiga Technical Knock Out bodi ya ligi na Yanga.Simba walitupa jiwe gizani
Wana haha kwenye uringo, kikikikiSimba wamewapiga Technical Knock Out bodi ya ligi na Yanga.
😃😀😀😄
Leo crown kuna kiongozi wa TFF amekanusha kuwa hawajapokea barua yeyote ya Yanga na wala wao hawajajibu chochote.Ofisi moja maelezo tofauti na bado mnataka tuwaamini? Jana niliuliza aliyeona barua yao hawa Wazee Wahuni aiweke lakini Hakuna aliyejaribu. Jana Msemaji Boimanda akasema hawana cha kuwajibu Yanga hivyo hawajajibu chochote. Leo Mwenyekiti Mguto anasema walishawajibu Yanga. Hii yote ni kuonyesha Bodi ya ligi ni chanzo cha madhaifu mengi katika ligi ya Nchi hii. Bodi inayoamini Kila siku busara itaizika sheria Kwa manufaa yao ili waonekane wanafanya kazi nzuri.
Nani ataamini watu àmbao wanatoka ofisi moja na ndimi mbili?
Madai ya Yanga kwenye hili suala hayafanyiki kisomi kama anavyosema Komeo la chumaHili jambo TFF/bodi ya ligi walijichanganya sana kuahirisha mechi bora wangesikilizia tu then wakatoa adhabu kwa timu iliyoonekana kukiuka kanuni saivi sijui watakuja na jibu gani. Yanga wamekataa mechi mpaka viongozi fulani wajiengue au kuenguliwa
Points 15Sema ukiangalia movie ya kuporwa point 3
Hawajapokea barua wala hawajajibu kama hujapokea barua unajibu niniLeo crown kuna kiongozi wa TFF amekanusha kuwa hawajapokea barua yeyote ya Yanga na wala wao hawajajibu chochote.
Lakini kuna muda tena akasema wao kila siku wanafanya mawasiliano na vilabu kwa njia ya barua.
Kiukweli wanachanganya sana.
Hujui kuwa Marekani inanunua umeme kutoka Canada?Nchi inanunua umeme Ethiopia, majinga yamekazania usimba na uyanga mwisho wa siku wanailaumu ccm
Sababu zao zinafanana na sisi kununua umeme Ethiopia?Hujui kuwa Marekani inanunua umeme kutoka Canada?
Si wababe nyie?Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne, Uswisi, baada ya kutoridhishwa na majibu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Soma: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Licha ya hatua hiyo, hakuna kiongozi yeyote aliyekubali kunukuliwa kwa jina, wakidai kuhofia mamlaka za soka na serikali. Hata hivyo, inadaiwa kuwa CAS itawasiliana rasmi na TFF pamoja na Bodi ya Ligi ili kuthibitisha kupokea rufaa hiyo. Yanga inasisitiza kuwa haijaridhika na maamuzi ya ndani, hivyo imechukua hatua hiyo kutafuta haki kwenye chombo cha juu zaidi cha usuluhishi wa michezo duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa hilo suala limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha, akisisitiza kuwa maamuzi ya mwisho ya bodi bado hayajatolewa, akiamini kuwa suluhu inaweza kupatikana kupitia vikao vya ndani. Ameeleza kuwa busara na hekima zinapaswa kutumika ili kila upande uridhike badala ya kupeleka suala hilo nje ya nchi.
Chanzo: Mwananchi
Tangu ujue neno protocol kila sentence lazima utaje protocol.Hamtafanikiwa maana hakuna protokali ya mchezo iliyofuatwa.
Mechi iliahirishwa kwa mamlaka iliyopewa bodi ya ligi kama ilivyopewa mamlaka ya kupanga ratiba vile vile ina mamlaka ya kupangua ratiba.
Idara ya sheria ya klabu ina shida sio bure.
Si wababe nyie?
Tuachieni na SINEMA ZETU na UTOTO WETU.
Busara gani itakayoweza kumaliza tatizo ambalo mediator amesha onyesha upande dhahiri shahiri.
Sasa mkuu posho utalipiwa zoom?Zoom meeting. Hakuna kusafiri kupuuunguza gharama
Hii ngoma ya wakubwa nyie wanuka mikojo hamuiwezi,mpaka sasa Yanga 3 vs Bodi/Maria/Simba 0Nimemuelewa...anaona Utopolo wana utoto utoto mwingi, busara wanazo wawili tu.