Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Je.!! Ni jukumu la Yanga kupeleka jopo la waamuzi uwanjani? Uzembe wa watu wengine kukamilisha majukumu yao, hakuwezi kuwa sababu ya Yanga kuonewa.Sasa kama mnajiamini kuifunga Simba kwanini mmekimbilia CAS kutafuta alama za mezani wakati hakuna procedures zilizofuatwa ili timu ipewe alama za mezani?
Je, jopo la waamuzi lilifika uwanjani kuwasubiri na baada ya Simba kutofika uwanjani refarii akamaliza mpira kwa mujibu wa kanuni?
Kama mnajiamini subirini tarehe mpya ipangwe mlete timu muone zahma itakayowakuta.
Sasa umeme Ethopia si unanunuliwa na serikali ya CCM kwa nini tusiilaumu?Nchi inanunua umeme Ethiopia, majinga yamekazania usimba na uyanga mwisho wa siku wanailaumu ccm
hv huko CAS kuna kesi yanga ameshawahi kushinda?maana kesi zote za huko wanaishia kupgwa faini tu na kufungiwa kusajiliUshafika CAS mkuu? Wenzako wanakula posho za safari ujue.
Yanga Nia yetu ni kuwaonyesha TFF na bodi ya ligi wawajue huko ulimwengumiSasa kama mnajiamini kuifunga Simba kwanini mmekimbilia CAS kutafuta alama za mezani wakati hakuna procedures zilizofuatwa ili timu ipewe alama za mezani?
Je, jopo la waamuzi lilifika uwanjani kuwasubiri na baada ya Simba kutofika uwanjani refarii akamaliza mpira kwa mujibu wa kanuni?
Kama mnajiamini subirini tarehe mpya ipangwe mlete timu muone zahma itakayowakuta.
Simba ameshinda kesi ganihv huko CAS kuna kesi yanga ameshawahi kushinda?maana kesi zote za huko wanaishia kupgwa faini tu na kufungiwa kusajili
Binadamu haishi kwa "mkate" pekee..!!Nchi inanunua umeme Ethiopia, majinga yamekazania usimba na uyanga mwisho wa siku wanailaumu ccm
Kanuni zipo wazi ili timu ipewe alama za mezani maana yake lazima protocol zote zifuatwe sio unadai alama za mezani wakati hakuna hata protokali iliyofanyika.Je.!! Ni jukumu la Yanga kupeleka jopo la waamuzi uwanjani? Uzembe wa watu wengine kukamilisha majukumu yao, hakuwezi kuwa sababu ya Yanga kuonewa.
kingine Kwenye barua yao ya bodi walisema mechi itapangwa tarehe nyingine, hayo si maamuzi tayali.Najiuliza hivi, huyu bwana anasema bodi ya ligi hawajafanya maamuzi, kwani;
1. Kughairisha mechi siyo maamuzi?
2. Kutopeleka waamuzi uwanjani hayakuwa maamuzi?
Kwahiyo haya uliyoyaandika wewe mwenyewe ndo unaona umejibu swali langu?? Nakuuliza tena, Je.!! Ni jukumu la Yanga kupeleka jopo la waamuzi uwanjani?Kanuni zipo wazi ili timu ipewe alama za mezani maana yake lazima protocol zote zifuatwe sio unadai alama za mezani wakati hakuna hata protokali iliyofanyika.
Mechi iliahirishwa ili bodi ya ligi ijipe muda wa kutosha kufanya uchunguzi wa tukio la Simba kuzuiliwa kufanya mazoezi kwa mujibu wa kanuni kitu kilichopelekea Simba kufanyiwa vitendo vya uvunjifu wa amani.
Sasa mechi imeahirishwa kwa mamlaka waliyokuwa nayo bodi ya ligi kuu wewe unapeleka timu uwanjani huku ukijua mechi haipo halafu unataka alama tatu za mezani.
Kiukweli pale Yanga panahitajika mabadiliko ya kiuongozi kuanzia idara ya sheria hadi Rais wa klabu maana huwa wanafanya mambo kwa kukurupuka.
Hamtafanikiwa maana hakuna protokali ya mchezo iliyofuatwa.Yanga Nia yetu ni kuwaonyesha TFF na bodi ya ligi wawajue huko ulimwengumi
Lakini kuwafunga Simba tupo tayari kuwapiga 5 hata kesho
Yote mnaweka vitisho ili Yanga wasilete timu maana mnaogopa kitakachofuata. Mambo yakiwekwa sawa Yanga itacheza mechi ya derby bila shida. Tusubiri tuone hiyo ZahmaSasa kama mnajiamini kuifunga Simba kwanini mmekimbilia CAS kutafuta alama za mezani wakati hakuna procedures zilizofuatwa ili timu ipewe alama za mezani?
Je, jopo la waamuzi lilifika uwanjani kuwasubiri na baada ya Simba kutofika uwanjani refarii akamaliza mpira kwa mujibu wa kanuni?
Kama mnajiamini subirini tarehe mpya ipangwe mlete timu muone zahma itakayowakuta.
Utapelekaje jopo la waamuzi uwanjani wakati mechi imeahirishwa?Kwahiyo haya uliyoyaandika wewe mwenyewe ndo unaona umejibu swali langu?? Nakuuliza tena, Je.!! Ni jukumu la Yanga kupeleka jopo la waamuzi uwanjani?
Mambo siyo rahisi kama unavofikiriHamtafanikiwa maana hakuna protokali ya mchezo iliyofuatwa.
Mechi iliahirishwa kwa mamlaka iliyopewa bodi ya ligi kama ilivyopewa mamlaka ya kupanga ratiba vile vile ina mamlaka ya kupangua ratiba.
Idara ya sheria ya klabu ina shida sio bure.
Yanga asiadhibiwe kwa makosa ya wengine. Hiyo unayoiita simple logic, ndo inasabaisha akina Karia kuropoka aliyoyaropokaUtapelekaje jopo la waamuzi uwanjani wakati mechi imeahirishwa?
Wewe mzee vipi? Vitu vidogo kama hivi unashindwa kuvielewa?
Jukumu la kupeleka waamuzi uwanjani ni la TFF/Bodi ya ligi endapo tu mchezo husika upo ila kama hao hao wanaowajibika kupeleka waamuzi uwanjani wameahirisha mchezo watapelekaje waamuzi uwanjani?
Mbona ni suala la kutumia simple logic tu hili.
Matumizi ya busara Ndiyo yamesabisha yanga sc waende mahaka ya usuruhishi CASSakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne, Uswisi, baada ya kutoridhishwa na majibu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Soma: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Licha ya hatua hiyo, hakuna kiongozi yeyote aliyekubali kunukuliwa kwa jina, wakidai kuhofia mamlaka za soka na serikali. Hata hivyo, inadaiwa kuwa CAS itawasiliana rasmi na TFF pamoja na Bodi ya Ligi ili kuthibitisha kupokea rufaa hiyo. Yanga inasisitiza kuwa haijaridhika na maamuzi ya ndani, hivyo imechukua hatua hiyo kutafuta haki kwenye chombo cha juu zaidi cha usuluhishi wa michezo duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa hilo suala limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha, akisisitiza kuwa maamuzi ya mwisho ya bodi bado hayajatolewa, akiamini kuwa suluhu inaweza kupatikana kupitia vikao vya ndani. Ameeleza kuwa busara na hekima zinapaswa kutumika ili kila upande uridhike badala ya kupeleka suala hilo nje ya nchi.
Chanzo: Mwananchi