The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Hamna sababu ya kutopeleka Team uwanjani nyie.Mkuu wewe tulia huu mchezo auhitaji hasira ndio kwanza kumekucha,,yanga walisubilia kwa hamu wajibiwe na bodi ya ligi maana wasingeweza kusonga mbele kabla bodi aijajibu barua yao na kutoa sababu za kikanuni, sasa kama ni kweli wamejibu hivyo inavyoelezwa hapo kimaandishi na sababu zenyewe zikiwa ndio hizo Kuna jambo zito litakwenda kutokea uko mbeleni wewe tulia na yanga awawezi kupeleka timu uwanjani kwa stahili iyo!
Ujinga upo Kila mahali katika hii nchi hakuna tunaloliweza wala kulijua hili ni tatizo LETU nchi nzima na katika kila jambo.Bodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Mkuu unakwepa kuelewa hapa makusudi? Suala la usalama limesababisha Simba kutofanya mazoeziIliyo ambatana na tukio la club ya Simba kishindwa kufanya mazoezi na........
Hata mimi natamani wasipeleke timu..Naziona point za bure kabisaHamna sababu ya kutopeleka Team uwanjani nyie.
Bodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Ni wazi kabisa sasa kama umeizuia team kuingia na kufanya mazoezi,Mkuu unakwepa kuelewa hapa makusudi? Suala la usalama limesababisha Simba kutofanya mazoezi
Utopwinyo mkuje sasa mkanushe 😂😂
Jemedari alivyokuwa anatengeneza ionekane ni sababu ya msingi kumbe hamna lolote , sababu ya msingi iliyofanya mechi kuahirishwa kwenye kanuni ni ipi na kwa tarehe 8 sababu iliyofanya mechi kuahirishwa ni ipiKanuni walishaitaja kwenye taarifa yao ya awali, kanuni ya 34:1(3.1) inawapa mamlaka ya kuahirisha mechi
Hiyo ni bodi ya ligi au jemedari saidi, au jemedari ndio bodi yenyewe
Usisumbue watu,Soma neno kwa neno taarifa ya awali ya bodi, wameweka humo sababu ya msingi na kanuni iliyotumika kuahirisha mechiMn
Jemedari alivyokuwa anatengeneza ionekane ni sababu ya msingi kumbe hamna lolote , sababu ya msingi iliyofanya mechi kuahirishwa kwenye kanuni ni ipi na kwa tarehe 8 sababu iliyofanya mechi kuahirishwa ni ipi
Naona mmeanza kutia akili sasa, kumbe mlikuwa mnatikisa kiberiti na mmegundua kimejaa mnaanza unyongeBodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Naunga mkono hojaCc Moderator na uongozi naomba mpeni haki yake huyu mtu
Hao hata kusoma tu huwa ni shida, mtu akiona habari juu juu anakimbilia kubisha mtandaoniUsisumbue watu,Soma neno kwa neno taarifa ya awali ya bodi, wameweka humo sababu ya msingi na kanuni iliyotumika kuahirisha mechi
Mtu anaandika sio sababu ya Simba kugomea.
Unajiuliza maswali, kwahiyo Simba wasingegomea wao wangeaihirisha mechi kutokana na sababu ipi?
2) Walikutana kujadiliana ni nini kama sio barua ya Simba ya kugomea mechi?
Msingi wa kuahirisha mechi ni kugoma kwa Simba kucheza mechi wala wasipindishe kauli.
Hivi barua ya bodi ya ligi ya tar 8 uliisoma?Hakukuwa na dharura msilazimishe makolo.
Je, wangezuiwa njiani na mabaunsa wangegomea mechi?
Mchome ni Yanga lakini anavaa jezi za Simba, angeizuia Yanga mngesema huyo ni baunsa wa Simba?
Baunsa ni mtu tu huwezi kuwa na uhakika katumwa na nani, maana kama mnajua wametumwa si mngeitaa Polisi? Chap tu kutoka Chang'ombe lakini mnajua kuwa Manager aliwakatalia.
Hii nayo ni hoja. Maana utambuzi ulikuwa kwa sura na si kwa jezi walizokuwa wamevaa.Hivi barua ya bodi ya ligi ya tar 8 uliisoma?
Barua ilieleza wazi baadhi ya waliozuia timu ya Simba ni mabaunsa wa Yanga na walitambulika kwa sura zao (Sio jezi)
Toka Yanga waanze kuandika barua kila leo kuna sehemu yoyote umeona wakikanusha kuwa hao watu hawana uhusiano nao au sio watu wao?