Bodi ya Ligi yaijibu Yanga "Hakuna points 3 za bure"

TFF na bodi ya ligi plus kamati zake, rasmi sasa ni Simba B😀
 
Naona mmeanza kutia akili sasa, kumbe mlikuwa mnatikisa kiberiti na mmegundua kimejaa mnaanza unyonge
Leteni timu tucheze hamuwezi kuwa juu ya mamlaka nyie nani bwana?
Hata hiyo mechi ikichezwa kesho, bado mtafungwa tu. Hata msijipe moyo.
 
Unaongea ujlnga, nani anabebwa kama sio yanga? Timu inapewa sapoti ya timu zingine 7 hii ligi ya wapi
 
Mtu yeyote anayesababisha vurugu atapelekea mechi husika kuahirishwa kulinda usalama wa wachezaji bila kujali ni baunsa wa yanga au mvuta bangi tuu kama mchome
 
We kilaza hata haujui maana ya dharura. Kitendo cha simba kutoa taarifa ya kutoingiza timu saa 16 kabla ya mchezo hii ni dharura kwa Tff maana ni jambo ambalo ni la ghafla na halikutarajiwa. Na simba walifanya hivyo kwa uhakika kwa kuwa walitendewa kinyumea na kanuni ya 17(45).

Ama kuhusu maswali yako kwamba je wangezuiwa njiani, bado kanuni ya 34 inawapa nafasi bodi kukaa kwa dharura na kupima uhalali wa ukiukwaji wa kanuni inayoweza kuwa sababu ya kuahirisha mchezo.

Je mabaunsa waweza kuwa yeyote? Ndiyo lakini crips zinathibitisha sura za mabaunsa wa yanga kwani wanafahamika hata kabla ya tukio hili kwa kuwaona wakishiriki ktk matukio mengine ya kimpira ktk mechi za yanga na isitoshe wao wanakiri kufuata maagizo kutoka juu.
Na kuhusu polisi na meneja wa uwanja kutowajibika, ndiyo maana barua ya majibu kwa yangu juu ya point za bure inadokeza juu ya uwepo wa viashiria vya rushwa vilivyowalizimu kuchunguza na kuhusisha takukuru.
 
Nyie mnaotaka point 3 ndo mna uzuzu...yani ufike uwanjani ww na genge lako ulazimishe upewe point 3...hata akili ya kuvukia tuu barabra haiko hivyo..mpira umehairishwa toka saa8...
Kwanini ulihairishwa?
 
Unaongea ujlnga, nani anabebwa kama sio yanga? Timu inapewa sapoti ya timu zingine 7 hii ligi ya wapi
Unaleta mambo ya kufikirika! Hizo timu zinazoibeba Yanga ni zipi? Na kama utazitaja timu zilizofungwa, usiisahau kuitaja na timu ya simba iliyofungwa mara nne mfululizo, kiasi cha kusababisha kuogopa kucheza mchezo wa tarehe 8/3/2025!
 
Narudia tena hii issue ime-expose sana ubovu na dhaifu mkubwa wa uongozi wa Yanga. Kwa maneno machache sana Yanga hakuna viongozi.
Kuanzia suala la kuweka mabaunsa, kupeleka timu uwanjani na mbaya na Aibu kudai points 3. Tuanzie kudai points, mechi ilikuwa saa 1:15 usiku swali Yanga walikuwa uwanjani muda huo? Hapana waliondoka uwanjani kabla ya muda huo, Yan hawakuwepo uwanjani muda huo wanadai vipi points 3 kama hukuwepo muda rasmi wa mechi? Kuhusu kupeleka timu uwanjani wakati tayari kuna taarifa rasmi ya kuhairishwa kwa mechi. Bodi ilisema kutokana na sababu za kiusalama mechi hakuna, unapeleka vipi timu uwanjani?
 
Kama Yanga inaweza kushushwa daraja kwa nini isishushwe. Bodi wehu hawana akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…