Sawa mkuu japo sikujua na sijui kama ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi , ila hili swala tukiacha ushabiki wa timu kuna usiasa ndani yake ulifanyikaJemedari ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi,yeye hupata taarifa mapema kuliko wengine, ndio maana Media nyingi na waandishi wengi wamecopy hii habari kutoka kwake
Hapana mkuu. Yanga isiingize timu ili Simba ipewe points za bure. Iwe fundisho na kujenga umadhubuti kwa vilabu vingine.Bodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Si haohao asubuhi walitangaza mechi ipo?Kanuni walishaitaja kwenye taarifa yao ya awali, kanuni ya 34:1(3.1) inawapa mamlaka ya kuahirisha mechi
Jemedari pia alikuwa Afisa Mwandamizi paleSawa mkuu japo sikujua na sijui kama ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi , ila hili swala tukiacha ushabiki wa timu kuna usiasa ndani yake ulifanyika
Hasa bodi ya ligi taarifa waliyotoa mwanzo na baadae kuahirisha hazikuwa timilifu
Akuna nani?mmemhoji Mwenyekiti kabla ya kikao, unadhani Mwenyekiti ana mamlaka kusemea jambo ambalo halijaamuliwa na kamati?Si haohao asubuhi walitangaza mechi ipo?
Kikubwa ni iwe imechezwa na sio za mezaniHata hiyo mechi ikichezwa kesho, bado mtafungwa tu. Hata msijipe moyo.
Ni kihongoziHivyo huyo uliyechukua habari kwake ndo nani huko Bodi ya Ligi?
Weka hapa hiyo barua ya Bodi.