Sasa mtu afichuliwe wakati data zake mnazo na mlikuwa mnawasumbua balaa kujaza madata meengi kipindi cha kukopa .. aisee hii nchii hapana kwa kweli!Bila kulipa wengine hawata pata mikopo
View attachment 3031540
Muwe na siku njema ,Kuwa hero wa Madogo .
nimeshangaa sana hii nchi tunashida na mizaa sana kwenye mambo serious!Kwahiyo kanzidata ya helsb kwishnei. Haina maajabu Yani
unawasikiliza na siasa hizo utawadai watu wakati hakuna kazi na hakuna mifumo mizuri ya uchumi kwenye nchi..mambo ya ajabu isee!Ushauri wa bure kwa Raisi Samia
Wizara ya Elimu ndie Msimamizi wa bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu mwite Professor Mkenda mwambie kitu kimoja tu kuwa akuletee list ya wadaiwa wote ,majina yao na vyuo walivyosoma na course walizosoma na miaka waliyomaliza na madeni wanayodaiwa
Wakuletee ndani ya wiki moja mpe wiki moja tu yaani siku saba za kazi asije kuwa msabato au katoliki kuwa umemnyima uhuru wa kuabudu jumamosi au jumapili
Asipoleta mtimue uwaziri na hata ubunge asirudi chama kisimpe nafasi na uvunje bodi yote ya HESLB na Mkrugenzi mkuu mtimue na usimpe cheo chochote na wa chini watendaji waham8shie hata halmashauri za Tandahimba huko uchunguzi ukiendelea vyombo vyote vya dola
Hahahaha sawa mkuu unakwamisha zoezi la ufichuajiHata nikishikiwa binduki mkuu hii haiwezekani aiseee
๐๐๐๐Acha nijifichue.....
jina langu
Jitukabeja Mzumbeata.
Chuo nilichosoma:
Muungano university.
Kampuni iliyoniajiri:
Mishe za kitaa company Ltd.
Kumbe Kweli ๐๐๐
UtafikiwaAcha nijifichue.....
jina langu
Jitukabeja Mzumbeata.
Chuo nilichosoma:
Muungano university.
Kampuni iliyoniajiri:
Mishe za kitaa company Ltd.
Wekeni dau,mfano mseme mtoa taarifa, atalindwa na kila mtoa taarifa anaweza ama kushinda nyumba ya family size,gari ya angalao 30m,ama boda ama bajaji,kwa namna hiyo mtakuwa na mchango kwa jamii na kusaidia kupunguza ugumu wa maisha,hili ni sawa na TRA wanavyo kosa mapata,iwe ni kupitia rushwa ama kushindwa ubunifu mdogo mdogo kwa kisingizio cha sheria za kodi ambazo mara nyingi zina lenga kunufaisha ama kulinda makundi fulani fulani.Bila kulipa wengine hawata pata mikopo
View attachment 3031540
Muwe na siku njema ,Kuwa hero wa Madogo .
๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ Luca ukuje kwa hukuu๐Kuwa hero wa madogo ,mimi nishatuma la Lucas Mwashambwa
Kazi zote wafanyakazi wanakuwa wamesajiliwa kwenye mifuko ya serikali labda vibarua hivyo serikali inakuwa na taarifa zoteKuna waliopata kazi hafu wamekaa kimya tuma jina mkuu
๐๐๐๐mdaiwa anadaiwa 13M wewe upewe 30m ?Wekeni dau,mfano mseme mtoa taarifa, atalindwa na kila mtoa taarifa anaweza ama kushinda nyumba ya family size,gari ya angalao 30m,ama boda ama bajaji,kwa namna hiyo mtakuwa na mchango kwa jamii na kusaidia kupunguza ugumu wa maisha,hili ni sawa na TRA wanavyo kosa mapata,iwe ni kupitia rushwa ama kushindwa ubunifu mdogo mdogo kwa kisingizio cha sheria za kodi ambazo mara nyingi zina lenga kunufaisha ama kulinda makundi fulani fulani.
Lucas Mwashambwa anatumia kigezo yeye ni kada mtiifu๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ Luca ukuje kwa hukuu๐
Bahati nasibu badala ya kucheza madubu ya mchina na kumpa yeye ajira na pesa,rejea kwenye betting,nini tofauti na hilo๐๐๐๐mdaiwa anadaiwa 13M wewe upewe 30m ?
Daaaa ๐Bahati nasibu badala ya kucheza madubu ya mchina na kumpa yeye ajira na pesa,rejea kwenye betting,nini tofauti na hilo