Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
shukrani ndugu ngja nichekiKama inagoma na unaandika sahihi hapo sehemu ya kuwekaa password Kuna link nyekundu inauliza forgot password bonyeza watakuomba uinginz namba ya mtihani, namba ya Simu uliyotumia kujiunga na email baada ya hapo bonyeza button ya rest au request chin watakutimia link kwenye email utatengeneza password upya au watakutimia code kwenye simu then utaingiza itengenezwe password mpya
bado inagoma nduguKama inagoma na unaandika sahihi hapo sehemu ya kuwekaa password Kuna link nyekundu inauliza forgot password bonyeza watakuomba uinginz namba ya mtihani, namba ya Simu uliyotumia kujiunga na email baada ya hapo bonyeza button ya rest au request chin watakutimia link kwenye email utatengeneza password upya au watakutimia code kwenye simu then utaingiza itengenezwe password mpya
Japo Sasa majanga wanakuambia nn tenabado inagoma ndugu
Mkuu, Nina changamoto, picha ya mdhamini iliyopo Ni ya mwanamke na mdhamini Ni mwanaume, mbaya zaidi nishaprint form, nafanyaje ili kubadilisha picha?MWENYE SHIDA YA RITA,NACTE(AVN) NA MKOPO(HESLB) ANIAMBIE NIMSAIDIE HAPA HAPA BUREEEEEEEEEE
Samahani, mawasiliano ya HESLB wanakorespond msaadaMWENYE SHIDA YA RITA,NACTE(AVN) NA MKOPO(HESLB) ANIAMBIE NIMSAIDIE HAPA HAPA BUREEEEEEEEEE
Wale hawaRespond aiseeSamahani, mawasiliano ya HESLB wanakorespond msaada
At all ama?Wale hawaRespond aisee
Watu wengi sana wanapiga simu so inakua bize sanaAt all ama?
Mpaka mwakaniwakuu kwema kwa waombaji wa diploma mwaka huu vipi wanaruhusiwa?
Habari Mr. Meck. Kule kwenye account ya RITA tayari wametoa verification number lakini nikiingiza kwenye OLAS inadai invalid verification number, leo ni siku 6 zimepita tangu ni apply for birth verification. Je yawezekana uhakiki haujakamilika bado pamoja na kuwa number ya uhakiki wameshatoa RITA?
Inaweza Kuwa Rita Bado hawajahakiki ila shida hapo inaweza Kuwa jinsi unavyoandika hiyo namba niambie umeiandije nikueleze Kama umepatia au umekoseaHabari Mr. Meck. Kule kwenye account ya RITA tayari wametoa verification number lakini nikiingiza kwenye OLAS inadai invalid verification number, leo ni siku 6 zimepita tangu ni apply for birth verification. Je yawezekana uhakiki haujakamilika bado pamoja na kuwa number ya uhakiki wameshatoa RITA?
Nimeikopi kama ilivyo kuanzia hapo kwenye 22 hadi kwenye V hivo inasomeka “ 220726D2380-V "Inaweza Kuwa Rita Bado hawajahakiki ila shida hapo inaweza Kuwa jinsi unavyoandika hiyo namba niambie umeiandije nikueleze Kama umepatia au umekosea
Okay hakikisha mwanzo hakuna space then hapo kwenye dash na v hakuna space ikigoma unaweka space then unafuta maana inakua inachelewa kusoma kwenye system then ikikubali Utaona foundNimeikopi kama ilivyo kuanzia hapo kwenye 22 hadi kwenye V hivo inasomeka “ 220726D2380-V "
Shda kama hiyo imenikuta, jarb kuingiza taarifa zngine bila kuweka nmba ya nida na taarfa za benk then save, badae chagua edit itakuruhus kuaddOkay hakikisha mwanzo hakuna space then hapo kwenye dash na v hakuna space ikigoma unaweka space then unafuta maana inakua inachelewa kusoma kwenye system then ikikubali Utaona found
UKIONA KUNA NYOTA NYEKUNDU JUA NI LAZIMASamahani wakuu, kipengele cha Nida na taarifa za benki ni lazima zijazwe?