Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

Kama inagoma na unaandika sahihi hapo sehemu ya kuwekaa password Kuna link nyekundu inauliza forgot password bonyeza watakuomba uinginz namba ya mtihani, namba ya Simu uliyotumia kujiunga na email baada ya hapo bonyeza button ya rest au request chin watakutimia link kwenye email utatengeneza password upya au watakutimia code kwenye simu then utaingiza itengenezwe password mpya
shukrani ndugu ngja nicheki
 
bado inagoma ndugu
 
Shida zipo
MWENYE SHIDA YA RITA,NACTE(AVN) NA MKOPO(HESLB) ANIAMBIE NIMSAIDIE HAPA HAPA BUREEEEEEEEEE
Mkuu, Nina changamoto, picha ya mdhamini iliyopo Ni ya mwanamke na mdhamini Ni mwanaume, mbaya zaidi nishaprint form, nafanyaje ili kubadilisha picha?
 
wakuu kwema kwa waombaji wa diploma mwaka huu vipi wanaruhusiwa?
 
Habari Mr. Meck. Kule kwenye account ya RITA tayari wametoa verification number lakini nikiingiza kwenye OLAS inadai invalid verification number, leo ni siku 6 zimepita tangu ni apply for birth verification. Je yawezekana uhakiki haujakamilika bado pamoja na kuwa number ya uhakiki wameshatoa RITA?
IMG_20220801_164257.jpg
 
Inaweza Kuwa Rita Bado hawajahakiki ila shida hapo inaweza Kuwa jinsi unavyoandika hiyo namba niambie umeiandije nikueleze Kama umepatia au umekosea
 
Nimeikopi kama ilivyo kuanzia hapo kwenye 22 hadi kwenye V hivo inasomeka “ 220726D2380-V "
 
Okay hakikisha mwanzo hakuna space then hapo kwenye dash na v hakuna space ikigoma unaweka space then unafuta maana inakua inachelewa kusoma kwenye system then ikikubali Utaona found
 
Shda kama hiyo imenikuta, jarb kuingiza taarifa zngine bila kuweka nmba ya nida na taarfa za benk then save, badae chagua edit itakuruhus kuadd
 
Samahani wakuu, kipengele cha Nida na taarifa za benki ni lazima zijazwe?
 
Daah wazee pale kwenye namba ( verification number) nimeweka ile ya juu kulia kwenye cheti yaani certificate number (C/No). Submission tayari na mpaka posta imeenda hivo. Nimefahamu juzi tu kuwa ilitakiwa verification number na sio C/No . Watakaporudisha majina ya wanaotakiwa kurekebisha, je tatizo laweza tatuliwa?
 
ndugu zangu kuna kipengere kilikua kinasumbua watu nimekitatua kutumia simu , ni hapo kwenye verifiction number ukitumia pc kidogo kinazubaa ila sim ni shwaaa green tik
 
Back
Top Bottom