Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
shukrani ndugu ngja nichekiKama inagoma na unaandika sahihi hapo sehemu ya kuwekaa password Kuna link nyekundu inauliza forgot password bonyeza watakuomba uinginz namba ya mtihani, namba ya Simu uliyotumia kujiunga na email baada ya hapo bonyeza button ya rest au request chin watakutimia link kwenye email utatengeneza password upya au watakutimia code kwenye simu then utaingiza itengenezwe password mpya