johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa story za nchi hii unashangaa nini ndugu yangu.Hivi polisi wana hiyo mamlaka?
Hivi utaratibu wa desposal ukoje? Najua inge teketezwa kwenye insenerator. Na sio kwa makaratasi.
yule mtumishi alisema MUNGU atasimama ngoja wapoteze umma ila haki ya mtu haipoteiBodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa....
Hapo sasaHivi moto unachomaje nyama na kuteketea?
Unajuaje pengine familia zao zinaendelea kuteketea huko majumbaniPolisi wameteketeza nyama matumboni mwao! Hii ni aibu Sana Kwa jeshi la polisi na kama hiyo nyama ingekuwa na sumu nahisi tungeokota mizoga ya polisi barabaran
Kama Jiwe aliwapora wakulima korosho zao na pia kuwapora wafanyabiashara fedha kwenye Bureau de Change, Polisi watashindwa nn kupora nyama??Kwanini hawakwenda na wale wafanyabiashara wa nyama kushuhudia? hii issue imewakalia vibaya sana, shuhuda mmoja alisema aliwaona askari wakigawana nyama kituoni, na kwa njaa ya askari wetu kubambikia watu kesi mpaka wapewe chochote nakubaliana na shuhuda.