Bodi ya Nyama yasema Polisi waliteketeza nyama yote iliyokamatwa ila miguu ilichelewa kuungua ndio maana Meya wa Jiji aliikuta

Ziungue steki ibaki miguu... [emoji16] Wamejisosomola hao
 
O
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.

Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.

Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Attachments

  • VID-20210315-WA0177.mp4
    39.3 MB
Sijawahi muamini polisi yeyote dunia hii. Wakati mwingine huwa nasema bora jambazi anakupora anasepa anakuacha unaendelea na maisha yako. Sio hawa wanakukamata, wanakuweka ndani, unapoteza muda halafu wanachukua pesa zako. #AbolishPolice
 
Saa mkitenda dhambi mnakingiana vifua alafu mnasema Serikali ya wanyonge nyooooooooo!!!!! Hata aibu hamna kabisa
 
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.

Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.

Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wakawadanganye watoto wa day care!! Polisi wameiba nyama na waliyochoma ni MAKWASUKWASU tu.
 
Nyama ikateketezwe polisi? Hapo kuna incenerator?? Je kwa nini hakuna hata video clip ikionyesha zoezi zima la kuteketeza? Mbona madawa yaliyo expire au bidhaa feki huwa hazipelekwi polisi kuteketezwa? Haya kuna ushahidi umetolewa kwamba polisi hiyo nyama wamegawana hapo kituoni...
 
Kuna mambo mengine ukisikia ama kuambiwa ni ngumu kuamini...

Miguu inaungua masaa sita? ..kwa moto huu nnaoufaham au moto wa torch?
Halafu nyama kilo zaidi ya 800?? Bila kuni lori zima hujaiteketeza waache porojo...
 
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.

Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.

Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Baada ya paka kutoka,panya wameota sharubu!
Jiwe angekuwepo hawa wote ni kutumbua tu,
Wakati mnaiteketeza,kulikuwa kuna vyombo vya habari kushuhudia?au hiyo "kazi"mliipiga wenyewe kimya kimya!!?njaa hizi,
Onyesheni,ushahidi sio story Zenu tu,maana wote nyie hamuaminiki.
 
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.

Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.

Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hao watakuwa waliiuza
 
Aibu sana hii,
Kama kuna askari anasoma comment basi aone aibu kwenye nafsi yake, huwezi kulisha familia nyama ya dhuluma, aibu kubwa hii.

Bodi ya nyama mnaingia kwenye aibu, je nyama hiyo ilikuwa hatari kiafya? Kama jibu ni ndio je mlipima saa ngapi na kujua ni hatari kiafya? Kama haikuwa hatari kiafya kuna utaratibu wa kuteketeza kitu kisichokuwa hatari kiafya? Hicho kinapaswa kugawiwa kwa wananchi wa kawaida, vituo vya watoto yatima, shule, magereza n.k

Polisi oneni aibu hiyo laana ya kudhulumu watu haitawaacha salama.
Bodi ya nyama hakikisheni mnakula kile kilichohalali yenu msile vya dhuluma hamtakuwa tofauti na polisi kwenye kustaafu.
 
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.

Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.

Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wasitufanye wapumbavu..je wakati mnateketeza kulikua na uwakilishi hata wa mfanya biashara mmoja alieshuhudia?? Na polisi ndio sehemu ya kuteketezea nyama?? Na mlikua na haraka gani ndani ya 1hr mmeshamaliza kila kitu kweli?? Kilo 800?? Ngoja Rais wa wanyonge anawavutia pumzi kwanza mtazitapika
 
Hivi polisi wana hiyo mamlaka?
Hivi utaratibu wa desposal ukoje? Najua inge teketezwa kwenye insenerator. Na sio kwa makaratasi.

Victim wa ushenzi huu ndio wanasema ukweli - tukio zima linaonyesha udhaifu mkubwa kwenye Wizara yetu ya mambo ya ndani - baadhi ya Polisi na maafisa Polisi wakati mwingine wanajipaga mamlaka ambayo hayapo kisheria, wanajichukulia kana kwamba maoni yao ndio final - hizi si dalili nzuri hata kidogo.

Hivi pale kituo cha Polisi Buguruni tangu lini wakawa na incinerator? Facilities hizo zipo Tazara karakana na kiwanda cha sementi Wazo Hill. Wale wote walio athirika na zoezi hili walipwe fidia vile vile maafisa Polisi na Polisi walio husika katika suala hili la aibu wachukuliwe hatua kali.
 
Back
Top Bottom