Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodi imesema nyama ilikuwa haifai kwa matumizi ya binadamu!NILISEMA HAKUNA HATUA YOYOTE IKATAYO
CHUKULIWA ZAIDI YA KULINDANA
IMEISHAAA HIYOOO
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wewe ndiyo lofa usiwasemee watz wote!!Mi nashauri kwa hatua ya uongo tuliofikia tusiendelee kuhoji ili waongee tu uongo wao wenyewe ili wafurahi.
Yaani Watz tumefika sehemu tunaonekana malofa kabisa na tuliowapa dhamana kwa kweli, inaudhi na kukera.
Naunga mkono hoja, wanaona watanzania ni mamburula mavi yaoMi nashauri kwa hatua ya uongo tuliofikia tusiendelee kuhoji ili waongee tu uongo wao wenyewe ili wafurahi.
Yaani Watz tumefika sehemu tunaonekana malofa kabisa na tuliowapa dhamana kwa kweli, inaudhi na kukera.
Hao polisi ni Fisi?Bodi imesema nyama ilikuwa haifai kwa matumizi ya binadamu!
Umechagua fungu jema,kula mbususu mpaka unukie mbususuMi ningekua polisi ningekua mzinzi tu naunda makoloni kama kumi hivi ya night workers nakua nawazungukia from time to time.
Kwenye hivi vikesi sijui vya nyama, rushwa, kushuti jambazi kimakosa haunikuti kabisa.
Ni muendelezo wa sera.Kama Jiwe aliwapora wakulima korosho zao na pia kuwapora wafanyabiashara fedha kwenye Bureau de Change, Polisi watashindwa nn kupora nyama??
Polisi wetu wana njaa sana.Badala hasira zao kumaliza kwa watawala,wanamalizia hasira zao kwa upinzani!Polisi wameteketeza nyama matumboni mwao! Hii ni aibu Sana Kwa jeshi la polisi na kama hiyo nyama ingekuwa na sumu nahisi tungeokota mizoga ya polisi barabaran
Tena na video ninayo,Kama una namba ya whasap nipe pm nikutumie,Kama unaitakaKwanini hawakwenda na wale wafanyabiashara wa nyama kushuhudia? hii issue imewakalia vibaya sana, shuhuda mmoja alisema aliwaona askari wakigawana nyama kituoni, na kwa njaa ya askari wetu kubambikia watu kesi mpaka wapewe chochote nakubaliana na shuhuda.
Mi ningekua polisi ningekua mzinzi tu naunda makoloni kama kumi hivi ya night workers nakua nawazungukia from time to time.
Kwenye hivi vikesi sijui vya nyama, rushwa, kushuti jambazi kimakosa haunikuti kabisa.
Kwenye nyama?Kuna bilioni 92 zimetoweka huko, mitano tena.
Hapana ni kwa idhini ya mpwa.Kwenye nyama?
Warumi?Hapana ni kwa idhini ya mpwa.
Ina maana tukio kama hilo hata kurekodi video hamna?
Hahahaaaa.....!Hahaha ingekuwa Bangi au vipodozi labda ila sio nyama mzee