rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
tembea uone mzeeHapo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tembea uone mzeeHapo sasa
MshaharaUngepata wapi pesa za kuwazinzi hao Wanawake kama huli rushwa?
Au unadhan kigezo cha kuwa na nyumba ndogo ni uume pekee?
Clips zimesambaa wewe ulikuwa wapi?Uliwaona wakati wanakitumia?
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Wakawadanganye watoto wa day care!! Polisi wameiba nyama na waliyochoma ni MAKWASUKWASU tu.Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Halafu nyama kilo zaidi ya 800?? Bila kuni lori zima hujaiteketeza waache porojo...Kuna mambo mengine ukisikia ama kuambiwa ni ngumu kuamini...
Miguu inaungua masaa sita? ..kwa moto huu nnaoufaham au moto wa torch?
Baada ya paka kutoka,panya wameota sharubu!Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hao watakuwa waliiuzaBodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Aibu sana hii,Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Wasitufanye wapumbavu..je wakati mnateketeza kulikua na uwakilishi hata wa mfanya biashara mmoja alieshuhudia?? Na polisi ndio sehemu ya kuteketezea nyama?? Na mlikua na haraka gani ndani ya 1hr mmeshamaliza kila kitu kweli?? Kilo 800?? Ngoja Rais wa wanyonge anawavutia pumzi kwanza mtazitapikaBodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hivi polisi wana hiyo mamlaka?
Hivi utaratibu wa desposal ukoje? Najua inge teketezwa kwenye insenerator. Na sio kwa makaratasi.