BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Pay slip ya B 20 unayo?Hao washajichanganya wanaenda kuaibika vibaya mno bora wangekaa kimya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pay slip ya B 20 unayo?Hao washajichanganya wanaenda kuaibika vibaya mno bora wangekaa kimya tu
kwaiyo 7 years alikuwa anatoa msaada. 🤔Pay slip ya B 20 unayo?
Àjatoa.....ni Hajatoa!sawa. mo 20 billion ajatoa lipo wazi
ila pia simba wame chukua favor kwa mo for 7 years.
then wanamtema now??
jichanganye kwanza utaelewa prepovitu vinaandikwa kiswahili lakini hakuna naloelewa hata moja,mo,milion 20,bodi,kila muda vinatajwa lakini sielewi.
Jielemishe, acha kujivunia uelewa hafifu.Mbona hili swala linatuweka dilemma sisi mashabiki wenye uelewa hafifu
Samahani, kwani CPA ndiyo akili, hekima na busara??Kitu unachopaswa kujuwa hakuna CPA ya heshima kama udaktari.
Hakuna CPA asiyejuwa hesabu.Samahani, kwani CPA ndiyo akili, hekima na busara??
Namaanisha hivi:
Mtu kuwa na shahada ya kwanza, ya pili mpaka ya tatu kwa taaluma yoyote hasa kwa nchi ya Tanzania ndiyo wana akili, busara na hekima sana kuliko wote?
Ongezea na hii: Unajua ni Tanzania one ngapi zimejaa serikalini??? Zimeleta tija?? Utasema tatizo siasa, ulizia ni wangapi mpaka walifika kwenye nafasi za maamuzi mazito!
Nb: Kuna kiburi cha elimu (kujiona) ambacho ndicho kimejaa sana hapa kwetu! Hii siyo akili!
Sasa kujua hesabu ndiyo akili, hekima na busara??Hakuna CPA asiyejuwa hesabu.
Hao Wajumbe Matapeli usiwasikilize hawajali kuhusu timu ya Simba wanajali matumbo yaoPay slip ya B 20 unayo?
CPA tapeli mwingine yupo HUMU aliumbuka vibaya sana kuhusu Aziz Ki anaweza akawa ndio HUYO aliegoma kujiuzuluSasa kujua hesabu ndiyo akili, hekima na busara??
Dewji ni muwekezaji simba acha uzwazwa ule sio msaada kwa simba au hisani ni haki yake kama mwekezajisawa. mo 20 billion ajatoa lipo wazi
ila pia simba wame chukua favor kwa mo for 7 years.
then wanamtema now??
Unaposema nyinyi mashabiki wenye uelewa hafifu unamaanisha nini?mashabiki mbumbumbu, au! Aisee poleni sana.Mbona hili swala linatuweka dilemma sisi mashabiki wenye uelewa hafifu
Mo muhuni, kwanza angeisha kikao then apate collective responsibility ili watakapo jiuzulu wajue mipango ni nini, sasa unawaambia wajiuzulu huna mipango yoyote, haiwezi kuwa sawaStory hii ya CPA
CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni na sheria.
“Hatuwezi kuwa na taasisi ambayo kila baada ya muda fulani watu wanajiuzulu, fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, ameelekeza zibadilishwe ndio ziwe mtaji wake wa Bilioni 20 ambao anatakiwa autoe Simba SC.” ——— CPA Issa Masoud.
Kabla ya hapa hii bodi ipo na simba for 3+ years. simba ilikuwa aina shida
Maswali.
1. Why waseme haya leo Simba haipo vizuri?
2. Leo ndo wanasema anaye sajili ni bodi na sio kamati ya USAJILI NA KAMATI AITAMBULIKI ila wakifeli Mo hajatoa pesa?
3. Why wanakataa kujiuzulu? seems wapo kusave matumbo yao Simba. 3+ years wanaona madudu wapo kimya muda wa kutoka hawataki. Wanakuja na excuses?
4. Why direct to the media? (hii public sympathy), in short hawa ni matapeli.
5. Wamemgeuka Mo kabisa, ila wakati wanachukua pesa zake for 7 years walikuwa kimya? why should Mo give them billions for nothing for 7 years au Mo sio target?
6. Hawa ndo wanazuia zoezi la transition and seems Mo sio target yao maana kwa haya ya leo walikuwa wapo kupiga pesa za Mo tu na sio kumpa team.
7. Easy, hawa ndo wazee wa 10% Simba wana wachezaji wao ready for signing.
Changamoto
Kibu Denis kapewaje mkataba mpya na amesign huku anayeidhinisha signing ni bodi ya simba nao hawajakaa 🤔🤔?
Pesa imetoka wapi? Nani kapitisha 750mil?
Simba imetoa results za Effects of Chawa.
Conclusion:
BODI YA WANACHAMA INATAKA KUMTAPELI MO DEWJI TEAM YAKE YA SIMBA AMBAYO AME FINANCE FOR 7 YEARS
Gharama ya uendeshaji wa timu kwa mwaka ni kiasi gani kuanzia usajili wa wachezaji na wafanyakazi mpaka kuwalipa mishahara na posho, usafiri maradhi?Mo ni bepari ambaye anawaza kujinufaisha zaidi kuliko wengi wafikirivyo.
Tukiulizana yale matangazo yaliyojaa kila sehemu ya jezi na kwenye social media angekuwa analipia kiasi kinacholingana na ukubwa wa timu?.
Utakuta analipia labda 200M kwa tangazo moja wakati wapo washindani wenzake wanaotaka walipie tangazo lao moja tu kwa 2B, sasa Mo hataki kuruhusu habari za hivyo, mbona hatusikii watu wakilalamika juu ya tabia hiyo ya Mo?.
Lakini MO alipata wapi jeuri ya kuiita Simba ni mali yake binafsi wakati hajakamilisha mchakato wa umiliki? .
Kila siku MO analia eti timu inamtia hasara, mbona haachii wengine ili asiendelee kupata hasara?.
Mwambieni MO janja janja yake wenzake wameichoka.
Kabla ya Mo kuonyesha B20 huyo mwenye CPA atuonyeshe zilipowekwa hizo B20 maana huko nyuma aliwai kusema Mo kaziweka hizo pesaKitu unachopaswa kujuwa hakuna CPA ya heshima kama udaktari.
Hapo CPA imeongea anaelewa vizuri sana hesabu, Mo aoneshe Billion 20 ziko wapi hiyo siyo hisani msiendekeze hawa matapeli wa Kihindi.
Au ndo ile ya mzee wa maji ya uhaiInaonekana kabisa kuna mtu anataka kuingia kwenye uwekezaji badala ya mo na ndio maana hawa wapuuzi wameanza ngonjera ili womtoe muhindi kwenye reli
Hilo halina ubishi, ujinga ni kuamini kuwa bila Mo simba hawezi kufanikiwa, na ujinga zaidi hata Mo amewaaminisha hivyoGharama ya uendeshaji wa timu kwa mwaka ni kiasi gani kuanzia usajili wa wachezaji na wafanyakazi mpaka kuwalipa mishahara na posho, usafiri maradhi?
Je hizo pesa za matangaza zinatosha kuendesha timu kwa mwaka mzima?
simba imefika hapo kwa pesa za mo tusidanganyane