Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhindi analipa mfanyakazi mshahara wa 150,000/- aache bilioni 😂😂😂NILIWAHII KUANDIKA MADA MOJA HUKOO NYUMAA MHINDI HAJAWAHI KUFANYA BIASHARA YA HASARAAAA KAMA ANAKUPA SADAKA
NKASEMA UKIONA MHINDI ANAKUOA HELAA TU ANAKUPA HELA UNAFURAHIAAA IPO SIKU UTAZITAPIKA KWENYE TUNDU LOLOTEE
MJUMBE MMOJA KASEMA ATI MO ALIKUWA ANAWAPA KAMA MSAADAAA
NIMEMSIKILIZA NKAHISI HUYU BWANA ANA AKILI ZOTE KWELI??
ATI ALIMPA BIL 4 KUSAIDIAA XYZ
BAADAE AKATOA BIL 5 KUSAIDIA
ABC
NK
USHAWAHI KUONA MHINDI ANAKUPA MSAADA WA BILIONS UMEKUWA MAMAYAKE AMA BABA YAKEEE??
YAAAN MLIKUWA MBAPOKEA KWASABABU HAMUULZWI MATUMIZI MKAJUA MSAADAAA IMEKUWA SADAKA YA HARAMBEEE
MNALOOO ZILE HELA MTAZITAPIKAAAA MOTOO UMEWAKA HUKOO
Mbona watu wengi wapo na CPACPA alijua akifanya direct attack kwa Mo basi wanachama watakuwa upande wake ila mambo yamegeuka, Wanachama wanamtaka Mo, hawataki mambo mengine.
Wasubirie mchakato wa mabadiliko ukamilike wanunue hisa zilizo salia kama wanachama lakini kuna watu ndani ya timu ni ndumila kuwili ndio wanao chelewesha mchakato wa mabadilikoYaani wanataka wamtoe tajiri namba moja nchini walete mhuni Fulani wa mjini ?
Kuna kipindi timu hadi ilidhaminiwa na Malkia Nyuki baada ya mashabiki kuendelea kusikiliza upumbavu wa Rage.
Kwanza mchakato kwa sasa umekwamishwa na upande wa wanachama na wahusika na ni hao hao kina Mangungu na hao kina cpa kwa upande wa wanachama.Wasubirie mchakato wa mabadiliko ukamilike wanunue hisa zilizo salia kama wanachama lakini kuna watu ndani ya timu ni ndumila kuwili ndio wanao chelewesha mchakato wa mabadiliko
Hawezi kuchomokaMo akichomoka hili zengwe la sasa hivi nitamvulia kofia.
Wengine tulishawapa hizi taarifa tokea April, kuna wapuuzi wakarusha mafumbo baada ya mjumbe mmoja kujiuzulu.
Shukuruni hata mnafahamishwa, chanzo sio pumzi kila mmoja anavuta bure.
Mchakato wa transformation umekamilika mpaka wakuonesha?Pay slip ya B 20 unayo?