Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

Gharama ya uendeshaji wa timu kwa mwaka ni kiasi gani kuanzia usajili wa wachezaji na wafanyakazi mpaka kuwalipa mishahara na posho, usafiri maradhi?

Je hizo pesa za matangaza zinatosha kuendesha timu kwa mwaka mzima?

simba imefika hapo kwa pesa za mo tusidanganyane
na huo ndiyo ukweli
 
CPA za kitapeli hizi, jinga linaongea kama limepata hiyo nafasi jana.
Miaka yote hiyo linakula 10% halioni hayo madudu leo linaambiwa lijiuzulu linajidai linaipenda simba.
 
Yes Bodi wana makosa yao , nayo ni kukaa kimya kwa Muda.

Lakini hili HALIONDOI KOSA LA MSINGI la Mo kuwa na ubabaishaji.

Washughulikiwe waru wa bodi kisha Wanachama warudi kwa Mo awaeleze vyema hizi tuhuma.
hakika bodi watolewe kwanza wapumbavu wakubwa hao.
 
Inaonekana kabisa kuna mtu anataka kuingia kwenye uwekezaji badala ya mo na ndio maana hawa wapuuzi wameanza ngonjera ili womtoe muhindi kwenye reli
Yaani wanataka wamtoe tajiri namba moja nchini walete mhuni Fulani wa mjini ?

Kuna kipindi timu hadi ilidhaminiwa na Malkia Nyuki baada ya mashabiki kuendelea kusikiliza upumbavu wa Rage.
 
Mo ni bepari ambaye anawaza kujinufaisha zaidi kuliko wengi wafikirivyo.

Tukiulizana yale matangazo yaliyojaa kila sehemu ya jezi na kwenye social media angekuwa analipia kiasi kinacholingana na ukubwa wa timu?.

Utakuta analipia labda 200M kwa tangazo moja wakati wapo washindani wenzake wanaotaka walipie tangazo lao moja tu kwa 2B, sasa Mo hataki kuruhusu habari za hivyo, mbona hatusikii watu wakilalamika juu ya tabia hiyo ya Mo?.

Lakini MO alipata wapi jeuri ya kuiita Simba ni mali yake binafsi wakati hajakamilisha mchakato wa umiliki? .

Kila siku MO analia eti timu inamtia hasara, mbona haachii wengine ili asiendelee kupata hasara?.

Mwambieni MO janja janja yake wenzake wameichoka.
Sasa hivi mchakato upo upande wa wanachama Mo alishamaliza kila kitu upande wake.

Watanzania wengi ni matapeli wanataka kumtoa ili waikamue club vizuri
 
Waondoke wajinga hawa,miaka 3 simba wameirudisha nyuma
 
Mo akichomoka hili zengwe la sasa hivi nitamvulia kofia.

Wengine tulishawapa hizi taarifa tokea April, kuna wapuuzi wakarusha mafumbo baada ya mjumbe mmoja kujiuzulu.

Shukuruni hata mnafahamishwa, chanzo sio pumzi kila mmoja anavuta bure.
Wakati unatoa taarifa wengi walikupibga lakini muda umejibu.
 
Ni muda muafaka Sasa kwa Try again na wenzake kina babra waliokuwa kwenye uongozi kipindi icho waseme Ile check ya bilioni 20 waliosema mwekezaji kaweka tiyali iliingia benki Gani?
Leo hii wajumbe wa bodi ya Simba upande wa wanachama wameitisha mkutano na vyombo vya habari wakidai bwana Mo anataka pesa aliyokuwa anatoa yote kuendesha klabu ndiyo igeuzwe iwe mtaji wa bilioni 20!!!
Kigwangala aliwai kusema kwamba shida ya Simba inaanzia kwa mwekezaji lakini amekuwa akipondwa na kutukanwa Kila aina ya matusi!
Sasa Kama mwekezaji anasema zile pesa anazotoa ndio zigeuzwe mtaji wa uwekezaji je Ile check aliyotoa mbele ya waandishi wa habari wakapigwa na picha kumbe ilikuwa ni check feki????
Wanachama na mashabiki wa Simba wamekuwa wakidanganywa na propaganda rahisi sana na wao kuingia mkenge kirahisi sana!
Ukweli umejulikana Leo kwamba mwekezaji ajawai kuweka bilioni 20 zilikuwa ni propaganda za wakina karibu Tena na mwenzake babra aliyekuwa CEO kipindi icho!
Mhindi anataka kuwatupia jumba bovu wajumbe wa bodi wakati yeye ndio tatizo namba moja na wao wamegoma kuchafuliwa kwa namna yoyote Ile!
Propaganda ni mbaya kwenye masuala ya soka maana Kuna wakati uhalisia utajulikana tu ndio Aya Sasa yameanza KUFICHUKA!
Try again aulizwe Ile check ya bilioni 20 iliingia benki Gani aseme!!!
 
ame finance 20 billion for 7 years.
Ndo makubaliano ya kimkataba ayo? Walikubaliana kwamba ukifinance miaka 7 ndio zinabadilishwa kuwa mtaji wa b.20? Ebu acha ujinga basi, aonyeshe bilioni 20 alikoziweka mengine yaendelee!
 
Back
Top Bottom