Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Wajumbe wa bodi wanaitisha mkutano na waandishi barabarani mbele ya maduka ya watu..
Kwa Hilo tu hata Kama walikua na hoja nawaona wajinga.
Kumbuka mchakato wa mabadiliko ndani ya Simba ulikuwa haujakamilika hivyo zile fedha ziliwekwa 'escrow account'..
Sasa watu haohao upande wa wanachama kwa makusudi kabisa wamechelewesha na kukwamisha mchakato na Mo ameendelea kutoa fedha nje ya zile billioni 20 mpaka zimezidi tena billion 20 nyingine..
Kama uliwasikia vizuri hoja zao hao wajumbe wa bodi, wanataka Mo aendelee kutoa hela ila asizisimamie wala kuzitolea maamuzi. Wanataka wapewe wao ndio wafanye maamuzi..
Wapumbavu kweli na njaa ndio zinazowaongoza.
Yani wewe hutoi hata mia, ila unataka Mimi nitoe hela uzisimamie wewe, Tena unaongea kwa uchungu kwelikweli..shenzi type!
Ok! Wanachama wanna 51%, bebeni basi budget ya msimu huu..
Partnership maana yake uwajibike kutokana na asilimia zako zilivyo.
Sasa wewe unatoka nyumbani kwako na nauli ya boda unasema, Mo akisajili kocha hatafundisha Simba, mpaka wewe upewe pesa ndio usajili...kitunguu, nyanya, ndizi, embe, parachichi..kwanza tikiti maji wahed