Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

vitu vinaandikwa kiswahili lakini hakuna naloelewa hata moja,mo,milion 20,bodi,kila muda vinatajwa lakini sielewi.
 
Kitu unachopaswa kujuwa hakuna CPA ya heshima kama udaktari.
Samahani, kwani CPA ndiyo akili, hekima na busara??

Namaanisha hivi:

Mtu kuwa na shahada ya kwanza, ya pili mpaka ya tatu kwa taaluma yoyote hasa kwa nchi ya Tanzania ndiyo wana akili, busara na hekima sana kuliko wote?

Ongezea na hii: Unajua ni Tanzania one ngapi zimejaa serikalini??? Zimeleta tija?? Utasema tatizo siasa, ulizia ni wangapi mpaka walifika kwenye nafasi za maamuzi mazito!

Nb: Kuna kiburi cha elimu (kujiona) ambacho ndicho kimejaa sana hapa kwetu! Hii siyo akili!
 
Hakuna CPA asiyejuwa hesabu.
 
Mo muhuni, kwanza angeisha kikao then apate collective responsibility ili watakapo jiuzulu wajue mipango ni nini, sasa unawaambia wajiuzulu huna mipango yoyote, haiwezi kuwa sawa
 
Gharama ya uendeshaji wa timu kwa mwaka ni kiasi gani kuanzia usajili wa wachezaji na wafanyakazi mpaka kuwalipa mishahara na posho, usafiri maradhi?

Je hizo pesa za matangaza zinatosha kuendesha timu kwa mwaka mzima?

simba imefika hapo kwa pesa za mo tusidanganyane
 
Kitu unachopaswa kujuwa hakuna CPA ya heshima kama udaktari.

Hapo CPA imeongea anaelewa vizuri sana hesabu, Mo aoneshe Billion 20 ziko wapi hiyo siyo hisani msiendekeze hawa matapeli wa Kihindi.
Kabla ya Mo kuonyesha B20 huyo mwenye CPA atuonyeshe zilipowekwa hizo B20 maana huko nyuma aliwai kusema Mo kaziweka hizo pesa
 
Inaonekana kabisa kuna mtu anataka kuingia kwenye uwekezaji badala ya mo na ndio maana hawa wapuuzi wameanza ngonjera ili womtoe muhindi kwenye reli
Au ndo ile ya mzee wa maji ya uhai
 
Hilo halina ubishi, ujinga ni kuamini kuwa bila Mo simba hawezi kufanikiwa, na ujinga zaidi hata Mo amewaaminisha hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…