Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Story hii ya CPA

CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni na sheria.

“Hatuwezi kuwa na taasisi ambayo kila baada ya muda fulani watu wanajiuzulu, fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, ameelekeza zibadilishwe ndio ziwe mtaji wake wa Bilioni 20 ambao anatakiwa autoe Simba SC.” ——— CPA Issa Masoud.

Kabla ya hapa hii bodi ipo na simba for 3+ years. simba ilikuwa aina shida

Maswali.
1. Why waseme haya leo Simba haipo vizuri?

2. Leo ndo wanasema anaye sajili ni bodi na sio kamati ya USAJILI NA KAMATI AITAMBULIKI ila wakifeli Mo hajatoa pesa?

3. Why wanakataa kujiuzulu? seems wapo kusave matumbo yao Simba. 3+ years wanaona madudu wapo kimya muda wa kutoka hawataki. Wanakuja na excuses?

4. Why direct to the media? (hii public sympathy), in short hawa ni matapeli.

5. Wamemgeuka Mo kabisa, ila wakati wanachukua pesa zake for 7 years walikuwa kimya? why should Mo give them billions for nothing for 7 years au Mo sio target?

6. Hawa ndo wanazuia zoezi la transition and seems Mo sio target yao maana kwa haya ya leo walikuwa wapo kupiga pesa za Mo tu na sio kumpa team.

7. Easy, hawa ndo wazee wa 10% Simba wana wachezaji wao ready for signing.

Changamoto

Kibu Denis kapewaje mkataba mpya na amesign huku anayeidhinisha signing ni bodi ya simba nao hawajakaa 🤔🤔?

Pesa imetoka wapi? Nani kapitisha 750mil?

Simba imetoa results za Effects of Chawa.

Conclusion:

BODI YA WANACHAMA INATAKA KUMTAPELI MO DEWJI TEAM YAKE YA SIMBA AMBAYO AME FINANCE FOR 7 YEARS

PIA SOMA
- Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu

- Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba

- Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

- Tetesi: - Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
 
Mgogoro mkubwa sana unanukia Simba.

Naona ni kama mgogoro wa Glazer Family na Man Utd. Mtu kashikilia timu hela hatoi, timu mafanikio yanadorora kila siku, na kuiachia hataki sababu kupitia timu biashara zake zinaenda.
 
Mo akichomoka hili zengwe la sasa hivi nitamvulia kofia.

Wengine tulishawapa hizi taarifa tokea April, kuna wapuuzi wakarusha mafumbo baada ya mjumbe mmoja kujiuzulu.

Shukuruni hata mnafahamishwa, chanzo sio pumzi kila mmoja anavuta bure.
 
Mgogoro mkubwa sana unanukia Simba.

Naona ni kama mgogoro wa Glazer Family na Man Utd. Mtu kashikilia timu hela hatoi, timu mafanikio yanadorora kila siku, na kuiachia hataki sababu kupitia timu biashara zake zinaenda.
sio kweli, pesa katoa, simba awawezi afford lakred na benchika.

simba imefika hapo kwa pesa za mo.
 
Lilikua swala la muda Tu...
Wakati Yanga wamemaliza migogoro na kujenga timu yenye ushindani, vipaji na nidhamu nyie nilikua klbize kusema inabebwa mara bahasha....
Sasa kimeumana [emoji81]binafsi nasimama na Mo... Kama alikua anawapiga hela mbona hamkulaumu Mpaka Leo maji yalipozidi unga
 
Mo ni bepari ambaye anawaza kujinufaisha zaidi kuliko wengi wafikirivyo.

Tukiulizana yale matangazo yaliyojaa kila sehemu ya jezi na kwenye social media angekuwa analipia kiasi kinacholingana na ukubwa wa timu?.

Utakuta analipia labda 200M kwa tangazo moja wakati wapo washindani wenzake wanaotaka walipie tangazo lao moja tu kwa 2B, sasa Mo hataki kuruhusu habari za hivyo, mbona hatusikii watu wakilalamika juu ya tabia hiyo ya Mo?.

Lakini MO alipata wapi jeuri ya kuiita Simba ni mali yake binafsi wakati hajakamilisha mchakato wa umiliki? .

Kila siku MO analia eti timu inamtia hasara, mbona haachii wengine ili asiendelee kupata hasara?.

Mwambieni MO janja janja yake wenzake wameichoka.
 
sio kweli, pesa katoa, simba awawezi afford lakred na benchika.

simba imefika hapo kwa pesa za mo.
Kitu unachopaswa kujuwa hakuna CPA ya heshima kama udaktari.

Hapo CPA imeongea anaelewa vizuri sana hesabu, Mo aoneshe Billion 20 ziko wapi hiyo siyo hisani msiendekeze hawa matapeli wa Kihindi.
 
Kaeni chini mmalize tofauti zenu vinginevyo timu inazama.
Siku zote Gentamycine amekuwa akiongea Mambo kama haya lkn anaishia kuitwa Popoma.
Ninachoona viongozi wamekuwa wakificha Mambo mengi bila kujua wanafunika Moto chini ya zulia.
Kujifanya Hakuna tatizo huku mkijua Wazi kuna shida kubwa kwenye uendeshaji wa timu ni kujidanganya. Viongozi hamjawatendea haki wanachama Kwa kuwasomea Taarifa zilizopakwa poda huku mkijua siyo Uhalisia.
 
Mo ni bepari ambaye anawaza kujinufaisha zaidi kuliko wengi wafikirivyo.

Tukiulizana yale matangazo yaliyojaa kila sehemu ya jezi na kwenye social media angekuwa analipia kiasi kinacholingana na ukubwa wa timu?.

Utakuta analipia labda 200M kwa tangazo moja wakati wapo washindani wenzake wanaotaka walipie tangazo lao moja tu kwa 2B, sasa Mo hataki kuruhusu habari za hivyo, mbona hatusikii watu wakilalamika juu ya tabia hiyo ya Mo?.

Lakini MO alipata wapi jeuri ya kuiita Simba ni mali yake binafsi wakati hajakamilisha mchakato wa umiliki? .

Kila siku MO analia eti timu inamtia hasara, mbona haachii wengine ili asiendelee kupata hasara?.

Mwambieni MO janja janja yake wenzake wameichoka.
Kuna wapumbavu wengi hawawezi kuelewa ulichoandika hapa.

Wapumbavu wengi wanadhani Simba ndio inanufaika kwa Mo badala ya kuangalia brand yao inamnufaisha vipi Mo?

Yeye mbona timu alizomiliki kwa 100% zilimshinda? Kwa nini anang'ang'ania 5imba?
 
Kitu unachopaswa kujuwa hakuna CPA ya heshima kama udaktari.

Hapo CPA imeongea anaelewa vizuri sana hesabu, Mo aoneshe Billion 20 ziko wapi hiyo siyo hisani msiendekeze hawa matapeli wa Kihindi.
sawa. mo 20 billion ajatoa lipo wazi

ila pia simba wame chukua favor kwa mo for 7 years.

then wanamtema now??
 
Kuna wapumbavu wengi hawawezi kuelewa ulichoandika hapa.

Wapumbavu wengi wanadhani Simba ndio inanufaika kwa Mo badala ya kuangalia brand yao inamnufaisha vipi Mo?

Yeye mbona timu alizomiliki kwa 100% zilimshinda? Kwa nini anang'ang'ania 5imba?
mo simba akitoka, ANAPOTEZA kila kitu bongo , hata heshima yake pia.

simba inamuweka mo kwenye radar. ila mo brand imetoa pesa za matangazo na sponsorship simba.

so mo enterprises na simba ni pure business.

mo dewji na simba ni utapeli.
 
Back
Top Bottom