Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Story hii ya CPA
CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni na sheria.
“Hatuwezi kuwa na taasisi ambayo kila baada ya muda fulani watu wanajiuzulu, fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, ameelekeza zibadilishwe ndio ziwe mtaji wake wa Bilioni 20 ambao anatakiwa autoe Simba SC.” ——— CPA Issa Masoud.
Kabla ya hapa hii bodi ipo na simba for 3+ years. simba ilikuwa aina shida
Maswali.
1. Why waseme haya leo Simba haipo vizuri?
2. Leo ndo wanasema anaye sajili ni bodi na sio kamati ya USAJILI NA KAMATI AITAMBULIKI ila wakifeli Mo hajatoa pesa?
3. Why wanakataa kujiuzulu? seems wapo kusave matumbo yao Simba. 3+ years wanaona madudu wapo kimya muda wa kutoka hawataki. Wanakuja na excuses?
4. Why direct to the media? (hii public sympathy), in short hawa ni matapeli.
5. Wamemgeuka Mo kabisa, ila wakati wanachukua pesa zake for 7 years walikuwa kimya? why should Mo give them billions for nothing for 7 years au Mo sio target?
6. Hawa ndo wanazuia zoezi la transition and seems Mo sio target yao maana kwa haya ya leo walikuwa wapo kupiga pesa za Mo tu na sio kumpa team.
7. Easy, hawa ndo wazee wa 10% Simba wana wachezaji wao ready for signing.
Changamoto
Kibu Denis kapewaje mkataba mpya na amesign huku anayeidhinisha signing ni bodi ya simba nao hawajakaa 🤔🤔?
Pesa imetoka wapi? Nani kapitisha 750mil?
Simba imetoa results za Effects of Chawa.
Conclusion:
BODI YA WANACHAMA INATAKA KUMTAPELI MO DEWJI TEAM YAKE YA SIMBA AMBAYO AME FINANCE FOR 7 YEARS
PIA SOMA
- Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu
- Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba
- Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake
- Tetesi: - Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi