Chief me nakuelewa lakini dont you think hapo kwamba ni lose lose situation..Haijawatajirisha ila wagonjwa ndo wanaenda sana na wao wanatoa huduma hizo..
Tatizo mnavoliweka ni kama Walitakiwa kutoa huduma Bure..
Kuna Vitu tunachanganya kuna FBO ambazo ni Non profit na kuna Private ambazo hizo ni profitable..
Wagonjwa wengi hawawezi kujitibia cash na akijitahidi kujitibu kwa cash anam limit sana daktari ku exercise all of its skills.
Mwenye bima itabidi aende public hospitals tu, facilities zitawabana serikali kwa uchache na private centres pia hawatapata wateja wa kuridhisha wapate moyo na kuendelea kutoa huduma za afya.
Yaani twende turudi, bila makubaliano, wote tunakosa.