Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

Haijawatajirisha ila wagonjwa ndo wanaenda sana na wao wanatoa huduma hizo..

Tatizo mnavoliweka ni kama Walitakiwa kutoa huduma Bure..
Kuna Vitu tunachanganya kuna FBO ambazo ni Non profit na kuna Private ambazo hizo ni profitable..
Chief me nakuelewa lakini dont you think hapo kwamba ni lose lose situation..

Wagonjwa wengi hawawezi kujitibia cash na akijitahidi kujitibu kwa cash anam limit sana daktari ku exercise all of its skills.

Mwenye bima itabidi aende public hospitals tu, facilities zitawabana serikali kwa uchache na private centres pia hawatapata wateja wa kuridhisha wapate moyo na kuendelea kutoa huduma za afya.

Yaani twende turudi, bila makubaliano, wote tunakosa.
 
Chief me nakuelewa lakini dont you think hapo kwamba ni lose lose situation..?
Wagonjwa wengi hawawezi kujitibia cash na akijitahidi kujitibu kwa cash anam limit sana daktari ku exercise all of its skills. Mwenye bima itabidi aende public hospitals tu, facilities zitawabana serikali kwa uchache na private centres pia hawatapata wateja wa kuridhisha wapate moyo na kuendelea kutoa huduma za afya. Yaani twende turudi, bila makubaliano, wote tunakosa.
Ni kweli kabisa..
Tatizo linakuja wakibanwa sana watakubali halafu wataanza kulimit baadhi ya vitu utaambiwa dawa hakuna ukanunue..
 
We waache watafanyiwa vitu vya ajabu sana..
Ni bora ucheze na mwalimu unaweza ukapeleka mwanao Tuition ukicheza na afya utapeleka Mochwari
Wakatoriki wameanzisha Bima yao kwa Mwaka unalaza 230,000/- tu wana familia wanne wanatibiwa bure Mwaka mzima

230,000/- wanne sio mmoja yaan Baba, Mama na watoto wawili wasiozidi miaka 20
 
Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali..

Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.

Serikali isiyojali huwa inatumia mabavu na nguvu kuua mbu aliyetua kwenye ngozi ya vibeba uzazi.

Haijali yaani.
Wao wana dola na wana haki ya kudeka.

Wanataka kulusanya hela hawajali kama athari za mwenendo wao unahatarisha afya za wananchi
 
Serikali isiyojali huwa inatumia mabavu na nguvu kuua mbu aliyetua kwenye ngozi ya vibeba uzazi.

Haijali yaani.
Wao wana dola na wana haki ya kudeka.

Wanataka kulusanya hela hawajali kama athari za mwenendo wao unahatarisha afya za wananchi
Hili sakata la Bima, Umeme, Sukari, Maji na Majibu ya Mwigulu kuhusu Ugumu wa Maisha unatoa picha mwelekeo wa taifa letu
 
Mkuu hebu niambie dawa gani iliyoshuka Bei..
Nipo tayari kusikiliza na kujifunza na kujua pia hizo dawa zilizoshuka na kuteremka bei sokoni
Hospital ya mirembe ,nilikuwa nanunuaga cabamazapine kidongo tsh 200 sasa ni 30 ,alanzapine nilikuwa nanunua kieonge kimoja 1000 sasa ni tsh 300 ,nimeona kuna mabadiliko sana ya bei .
 
Hospital ya mirembe ,nilikuwa nanunuaga cabamazapine kidongo tsh 200 sasa ni 30 ,alanzapine nilikuwa nanunua kieonge kimoja 1000 sasa ni tsh 300 ,nimeona kuna mabadiliko sana ya bei .
Hebu niambie mkuu ulikonunua Kidonge cha Carbamazepine kwa Tsh 30 na mimi nikanunue huko nikaweke kwenye pharmacy yangu niwe Tajiri mkubwa maana cabamazepine kwa bei ya Jumla tu Bei yake ni Tsh 140 mpaka 170 kwa kidonge..

Nachukia sana Uongo aisee..

Bima mwaka 2016..Ilikuwa Tsh 200
Screenshot_20240302_002921_Adobe Acrobat.jpg

BIMA 2024 Tsh 138 bei ambayo.huuzwa Kwa bei ya Dukani yaani bei ya Jumla
Screenshot_20240302_002711_Adobe Acrobat.jpg



Nielekeze Duka wanakouza Carbamazepine kwa kidonge Tsh 30 Mkuu niwe Tajiri..
Maana vidonge 10 hapo nachukua 300..
Na hata nikiuza bei ya Bima ya Tsh 138 sina hasara..

Na ulinunua Olanzapine Wapi kwa Tshs 300 kidonge????

Natamani kupajua Ili na mimi nitibu wagonjwa wangu wa Mental health kwa bwerere kabisa
 
Nchi za dunia ya tatu, usicheze na aliyeshika mpini ukiwa umeshika makali utaumia tu.

Soon wataanza kulia.

Na hii haihusiani na nani yupo right, nani ypo wrong.

Ila namjua atakayelia ni nani mwisho wa hili game.
Ni aibu kuona magonjwa yamekuwa mtaji mbele ya baadhi ya binadamu!
Kwani kunashida gani hii fedha ikazunguka humo humo serikalini kwa kuanzisha vituo vya kutoa huduma hadimu kila wilaya!!? Maana ni upuuzi dawa ya 30 kwa kidonge unauziwa kwa 5000! Kuna maamuzi engine hayahitaji PHD au masters kuyatekeleza ni uamuzi tu na utendaji! Wapeni jeshi kitengo cha matibabu waje na plan kama huko bingeni hamuwezi!
 
Back
Top Bottom