Hizo ni tuhuma nzito,nipe majina ya waliozikopa,vinginevyo unyamaze.Kwa nini wanazikopa toka ktk mifuko ya jamii ikiwa nao wanahusika? Kama wanahusika kwa nini wafanyakazi walalamike ikiwa mbia mwenzao kachukua pesa?
Ndo mana nakwambia akili yako ndogo rudi facebook kule daraja la kigamboni limejengwa kwa pesa za wapi kama sio nssf? Unaujua ujenzi wa chuo kikuu cha udom pesa zimetoka wap? Ngoja nikuangalie umejiunga lini jf!!!!!!!!!Hizo ni tuhuma nzito,nipe majina ya waliozikopa,vinginevyo unyamaze.
Tangu lini kanjhibay akawa mtalii?Safari za kuleta Watalii kutoka MUMBAI zinaanza.
Tushachoka na nyimbo zenu za kila sikuKaribu sana mgeni Unogeshe nyumbani.
Kufanya nini wakati mnatibiwa hapo sewahaji?Nitakaa siti ya mbele kabisa Wakati tunaenda Mumbai
Umejiunga 2017 bado hujaiva jitahidi sana kutafuta habar na vyanzo vyake hapa utaumbuka inabidi nikuache sio level yangu wewe.Hizo ni tuhuma nzito,nipe majina ya waliozikopa,vinginevyo unyamaze.
Hata ukinawa mjini huendiHongera Magufuli,umeondoa aibu yangu.Mungu akulinde.Mimi sio hypocrite,nakuombea kila siku katika maombi yangu,you are so special to me and Tanzania.Hongera sana strongman.
AnajikombaNi baba yako huyo?
Katoa mfukoni mwake?Hakika anahitaji pongezi
Ni kodi za watanzaniaNi Rais wangu,akiyumba nchi itayumba.
Rudi kwenye mada.Ndo mana nakwambia akili yako ndogo rudi facebook kule daraja la kigamboni limejengwa kwa pesa za wapi kama sio nssf? Unaujua ujenzi wa chuo kikuu cha udom pesa zimetoka wap? Ngoja nikuangalie umejiunga lini jf!!!!!!!!!
Hata ruzuku za ufipa ni kodi ya watanzania. Mbowe asitubanie.Ni kodi za watanzania
Kuna nafasi za kupika chai hapa ufipa leta barua yako ya maombi tutakufikiriaHata ruzuku za ufipa ni kodi ya watanzania. Mbowe asitubanie.
Wewe kwanza ni mzururaji hohehahe tu. Huna mbele wala nyuma, utamuajiri nani sasa?Kuna nafasi za kupika chai hapa ufipa leta barua yako ya maombi tutakufikiria
hahahaIyumbe mara ngapi? Au unataka hadi vita ndo ujue pameyumba?