CAG huyo huyo kasema mbowe kajikopesha bilioni mbili,lakini wapambe kuficha aibu mnashabikia ya ccm tu,ili hilo la bilioni mbili lipite na mmefanikiwaTatizo kubwa sana mnalo... Imefika mahala hata CAG hamumuamini kwa vile tu kasema makosa yenu... SI unakumbuka habari ya Bilioni 1,500/- na yale maswali ya bwana mjkubwa kwa CAG?
Mmefika mahala anayewakosoa ni adui yenu
mmefika mahala pa kutowakosoa hata wateule wake pale wanapokosea....
Teeeeeh teeeeeeh jambo usilolijua kwa taarifa yako mimi nina uwezo wa kukulisha wewe na ukoo wenu wa panyaWewe kwanza ni mzururaji hohehahe tu. Huna mbele wala nyuma, utamuajiri nani sasa?
Kuna ndege Gambia zinapigwa mnadaWewe kwanza ni mzururaji hohehahe tu. Huna mbele wala nyuma, utamuajiri nani sasa?
CAG anasema 1.5Trilion hazijulikani zilipoCAG huyo huyo kasema mbowe kajikopesha bilioni mbili,lakini wapambe kuficha aibu mnashabikia ya ccm tu,ili hilo la bilioni mbili lipite na mmefanikiwa
Aibu ya kudharauliwa nchi yangu Tanzania.
Vyote ni aibu.Anyway hatushangai comments hizi,yote haya ni katika nia ile ile,kuidhalilisha serikali.Hata hivyo hamtatukatisha tamaa.Ni nani amekuambia serikali kutokumiliki commercial airline ni aibu? Hivi unajuwa kwamba serikali tajiri kuliko zote duniani ya USA haifanyi biashara ya abiria ya ndege? Hivi kipi ni aibu, kuwa na hospitali zisizokuwa na matibabu na shule zisizo na majengo au kutokuwa na ndege?
Mbele kuna korongoNi Rais wangu,akiyumba nchi itayumba.
Kuwabembeleza watalii waje kumuangalia faru NdugaiKufanya nini wakati mnatibiwa hapo sewahaji?
Nahifadhi tusi kabla halijanitokaIt's a matter of priorities,wala haina uhusiano na kuyumba nchi.
Kweli umenikumbusha yule Faru Yohana hivi arobaini yake ilishapitishwa?Kuwabembeleza watalii waje kumuangalia faru Ndugai
hahaha wazir wa utalii yupo porini kuzima moto maporini. tena alowasha mwenyewe badala ya kutangaza utaliiSafari za kuleta Watalii kutoka MUMBAI zinaanza.
Vyote ni aibu.Anyway hatushangai comments hizi,yote haya ni katika nia ile ile,kuidhalilisha serikali.Hata hivyo hamtatukatisha tamaa.
Zinaweza nunuliwa ndege nyingi kisa mtu mmoja kutaka zinunuliwe ila kama hamna mipango ni majanga zaidi.
Ndege tatu kwa awali zingetosha. Saba ni kama kujiovadozi.
Kwamtazamo wa jiwe ni bora ndege. Tatizo anaamini kua ndege ndio utajiri wa nchi kwakudanganywa na kàgame.Ni nani amekuambia serikali kutokumiliki commercial airline ni aibu? Hivi unajuwa kwamba serikali tajiri kuliko zote duniani ya USA haifanyi biashara ya abiria ya ndege? Hivi kipi ni aibu, kuwa na hospitali zisizokuwa na matibabu na shule zisizo na majengo au kutokuwa na ndege?
Polesana watz Mungu atuhurumie nchi hii hata ufanyeje watasema tuKwamtazamo wa jiwe ni bora ndege. Tatizo anaamini kua ndege ndio utajiri wa nchi kwakudanganywa na kàgame.
Ushamba ni tabu sana.
He is special to you, not to tanzania.Hongera Magufuli,umeondoa aibu yangu.Mungu akulinde.Mimi sio hypocrite,nakuombea kila siku katika maombi yangu,you are so special to me and Tanzania.Hongera sana strongman.
Sionagi kama ni busara sana kutumia makosa ya mwingine kuhalalisha yako.... By the way, 2B na 1500B mwenye busara atahangaika na 1500B kujua imetumikaje... tena bila hata kashfa yoyote kama ile ya 784B kwa miaka kumi (EPA, ESCROW, RADA na RICHMOND) na hii ya 1500B kwa mwaka mmoja..CAG huyo huyo kasema mbowe kajikopesha bilioni mbili,lakini wapambe kuficha aibu mnashabikia ya ccm tu,ili hilo la bilioni mbili lipite na mmefanikiwa
iyumbe mara ngapi?Ni Rais wangu,akiyumba nchi itayumba.