MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
amekupa jibu zuri sana huyo jamaa sasa tujibu watsapp na facebook zimekusaidia nnBora mkoloni arudi tu. Kumbe kuna baadhi ya watanzania hawana uhuru kichwani
Kweli Kabisa , Kwanza tufahamu kwambwa TZ ndio nchi ya pekee EAC ambayo Exports zimezidi Imports, Yaani ni Net exporterKama Uhuru na GoK haitostuka mapema na kumfanya JPM kuwa business partner and friend, badala yake wakiendelea kumfanya competitor, uchumi wa Kenya uta collapse within next five years.
Yan ukishauliza swali hilo unaonesha tu bado hujakua kiakili.amekupa jibu zuri sana huyo jamaa sasa tujibu watsapp na facebook zimekusaidia nn
ukitaka kupanda ndege punguza safari za kwenda saloon kila siku nakupa good ideaYan ukishauliza swali hilo unaonesha tu bado hujakua kiakili.
how Uhuru is seeing JPM nowKama Uhuru na GoK haitostuka mapema na kumfanya JPM kuwa business partner and friend, badala yake wakiendelea kumfanya competitor, uchumi wa Kenya uta collapse within next five years.
na machozi yanamtoka anaumia sanahow Uhuru is seeing JPM nowππππππ
Heheheee huko saloon unanipelekaga au maana sio kwa kuniambia nisiende.ukitaka kupanda ndege punguza safari za kwenda saloon kila siku nakupa good idea
we ulitaka kupanda ndege kwa nauli ya bus???πππππ
Kinachoniogopesha zaidi ni hii kampeni yake ya industrialization, Kenya inategemea sana soko la EA katika kuuza bidhaa zake, hasa Tanzania na Uganda, kama Tanzania ikiwa na viwanda vyake, ni wazi Kenya itapoteza competitive edge ya viwanda, hasa ukizingatia kwamba production costs Tanzania zipo chini ukilinganisha na Kenya.Kweli Kabisa , Kwanza tufahamu kwambwa TZ ndio nchi ya pekee EAC ambayo Exports zimezidi Imports, Yaani ni Net exporter
Usitake uonekane we ndo imesoma vzr ukaelewa mi nilikua sijibu aliyeandaka mada. Kuna mtu nimemquote ndo amesema wanatukopesha bila interest yoyote ndo nilimwambia atusaidie ushahidi. Sasa wewe ulivyo na ufahamu wako mdogo umekimbilia kusema bila kufuatilia source ya comment yangu.nioneshe wapi wameandika neno loan na interest maana usiwe unaandika jambo huna ujuzi nalo
Ndege sio soda bratha eti utolewa moja kwa store ππKUKOPESHA KUKOPESHA KUKOPESHA KUKOPESHA MKOPO MKOPO MKOPO MKOPO
BOEING ambao wakona ofisi Nairobi Kenya wameamua kukopesha Tanzania ndege ingine. Ya kwanza ishapeanwa kwa mkopo tiyari.
Uongozi dhaifu, tena wa aibuKinachoniogopesha zaidi ni hii kampeni yake ya industrialization, Kenya inategemea sana soko la EA katika kuuza bidhaa zake, hasa Tanzania na Uganda, kama Tanzania ikiwa na viwanda vyake, ni wazi Kenya itapoteza competitive edge ya viwanda, hasa ukizingatia kwamba production costs Tanzania zipo chini ukilinganisha na Kenya.
Jambo la pili ni jinsi Tanzania inavyozika kabisa utalii wa Kenya, kufufuka kwa ATCL, ujenzi wa biggest airport in EA, na kukataa kufungua Bologojo border point kati ya Serengeti na Masai mara, ni sawa na death sentence kwa utalii wa Kenya, hasa ukizingatia hali ya usalama wa Kenya.
Mwisho kabisa ni hii train ya umeme tunayojenga toka Dar hadi Kigali na Bujumbura, wafanya biashara wote toka Eastern DRC, Uganda na Rwanda wanaukujA Nairobi kununua bidhaa, itakuwa ni rahisi sana kwao kutumia passenger trains kuja Dar kununua mizigo na kurudi kw haraka, kuliko kutumia barabara au ndege ambazo ni ghali na sio reliable sana, Nairobi itakaukiwa sana na biashara.
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Ukishauliza swali ndege zinatusaidia nn inaonesha hata kwa nchi jirani(Kenya na Rwanda) umeshindwa kujifunza.Yan ukishauliza swali hilo unaonesha tu bado hujakua kiakili.
Juzi mlikua munaimba wimbo wa ndege ni cash leo mnaimba wimbo tofauti. Respect the OG's KQ imenunua ndege zaidii ya 60 huwezi kutuambia kitu kuhusu ununuzi wa ndege.Ndege sio soda bratha eti utolewa moja kwa store ππ