Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Mtoa mada ukute ukoo mzima hamjawahi kupanda ndege..ungekuja na habari kuwa serikali ya tanzania imeingia ubia na kampuni moja huko nje kuja kuweka mabomba ya maji nchi nzima ungeeleweka...sasa hizo ndege zinamsaidia nini babu yangu kule kijijini
 
Kama Uhuru na GoK haitostuka mapema na kumfanya JPM kuwa business partner and friend, badala yake wakiendelea kumfanya competitor, uchumi wa Kenya uta collapse within next five years.
 
Kweli Kabisa , Kwanza tufahamu kwambwa TZ ndio nchi ya pekee EAC ambayo Exports zimezidi Imports, Yaani ni Net exporter
 
Yan ukishauliza swali hilo unaonesha tu bado hujakua kiakili.
ukitaka kupanda ndege punguza safari za kwenda saloon kila siku nakupa good idea
we ulitaka kupanda ndege kwa nauli ya bus???😀😀😀😀😀
 
how Uhuru is seeing JPM now
images
😀😀😀😀😀😀
 
ukitaka kupanda ndege punguza safari za kwenda saloon kila siku nakupa good idea
we ulitaka kupanda ndege kwa nauli ya bus???😀😀😀😀😀
Heheheee huko saloon unanipelekaga au maana sio kwa kuniambia nisiende.
Ndege inasaidia % ya watanzania??
 
Kweli Kabisa , Kwanza tufahamu kwambwa TZ ndio nchi ya pekee EAC ambayo Exports zimezidi Imports, Yaani ni Net exporter
Kinachoniogopesha zaidi ni hii kampeni yake ya industrialization, Kenya inategemea sana soko la EA katika kuuza bidhaa zake, hasa Tanzania na Uganda, kama Tanzania ikiwa na viwanda vyake, ni wazi Kenya itapoteza competitive edge ya viwanda, hasa ukizingatia kwamba production costs Tanzania zipo chini ukilinganisha na Kenya.

Jambo la pili ni jinsi Tanzania inavyozika kabisa utalii wa Kenya, kufufuka kwa ATCL, ujenzi wa biggest airport in EA, na kukataa kufungua Bologojo border point kati ya Serengeti na Masai mara, ni sawa na death sentence kwa utalii wa Kenya, hasa ukizingatia hali ya usalama wa Kenya.

Mwisho kabisa ni hii train ya umeme tunayojenga toka Dar hadi Kigali na Bujumbura, wafanya biashara wote toka Eastern DRC, Uganda na Rwanda wanaukujA Nairobi kununua bidhaa, itakuwa ni rahisi sana kwao kutumia passenger trains kuja Dar kununua mizigo na kurudi kw haraka, kuliko kutumia barabara au ndege ambazo ni ghali na sio reliable sana, Nairobi itakaukiwa sana na biashara.
 
nioneshe wapi wameandika neno loan na interest maana usiwe unaandika jambo huna ujuzi nalo
Usitake uonekane we ndo imesoma vzr ukaelewa mi nilikua sijibu aliyeandaka mada. Kuna mtu nimemquote ndo amesema wanatukopesha bila interest yoyote ndo nilimwambia atusaidie ushahidi. Sasa wewe ulivyo na ufahamu wako mdogo umekimbilia kusema bila kufuatilia source ya comment yangu.
 
KUKOPESHA KUKOPESHA KUKOPESHA KUKOPESHA MKOPO MKOPO MKOPO MKOPO

BOEING ambao wakona ofisi Nairobi Kenya wameamua kukopesha Tanzania ndege ingine. Ya kwanza ishapeanwa kwa mkopo tiyari.
 
Sasa mhariri wa hilo gazeti kaishia darasa la ngapi? Ngege ni nini?
 
Kinachoniogopesha zaidi ni hii kampeni yake ya industrialization, Kenya inategemea sana soko la EA katika kuuza bidhaa zake, hasa Tanzania na Uganda, kama Tanzania ikiwa na viwanda vyake, ni wazi Kenya itapoteza competitive edge ya viwanda, hasa ukizingatia kwamba production costs Tanzania zipo chini ukilinganisha na Kenya.

Jambo la pili ni jinsi Tanzania inavyozika kabisa utalii wa Kenya, kufufuka kwa ATCL, ujenzi wa biggest airport in EA, na kukataa kufungua Bologojo border point kati ya Serengeti na Masai mara, ni sawa na death sentence kwa utalii wa Kenya, hasa ukizingatia hali ya usalama wa Kenya.

Mwisho kabisa ni hii train ya umeme tunayojenga toka Dar hadi Kigali na Bujumbura, wafanya biashara wote toka Eastern DRC, Uganda na Rwanda wanaukujA Nairobi kununua bidhaa, itakuwa ni rahisi sana kwao kutumia passenger trains kuja Dar kununua mizigo na kurudi kw haraka, kuliko kutumia barabara au ndege ambazo ni ghali na sio reliable sana, Nairobi itakaukiwa sana na biashara.
Uongozi dhaifu, tena wa aibu
 
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??

Makosa mengine ya kuchekesha
 
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??

Makosa mengine ya kuchekesha
 
Yan ukishauliza swali hilo unaonesha tu bado hujakua kiakili.
Ukishauliza swali ndege zinatusaidia nn inaonesha hata kwa nchi jirani(Kenya na Rwanda) umeshindwa kujifunza.
Nchi yetu mungu ametujalia sana tunauwezo wa kuwekeza katika miundumbinu ya utarii tu na tukaweza kuingiza more than 50% ya pato lote .
Kenya hawana vivutio vya utarii lakini wanatumia Kenya airway kuleta watalii nchini kwao mfano wakidai mlima Kilimanjaro upo kwao and they are making a lot of money.

So lazima tutafute namna ya ketengeneza miundombinu ya kuingiza pesa ,then tuje kwenye social services

Hata katika maisha ya kawaida huwa tunaanza kutengeneza miundombinu ya biashara then .....ndo tunajenga sehemu zakuishi na kuweka umeme na maji safi

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ndege sio soda bratha eti utolewa moja kwa store 😀😀
Juzi mlikua munaimba wimbo wa ndege ni cash leo mnaimba wimbo tofauti. Respect the OG's KQ imenunua ndege zaidii ya 60 huwezi kutuambia kitu kuhusu ununuzi wa ndege.
 
Back
Top Bottom