Mbabe wa anga za mbali ni mrusi ns hapo nasa
Watu wasichojua pale NASA wamejaa wanaanga na wanasayansi wa kirusi na kimarekani ila magwiji kabisa ni warusi na ndo ambao hamna mission yao ya kwenda anga la juu iliyo fail urusi ndo taifa pekee linaweza kutoa msaada maana teknolojia ya anga za juu wanaijua sana sasa watu wakiangalia movie za Hollywood wanafikiri marekani inaweza wazidi warusi kwenye hizo mamboNilikuwa nasubiri comment kama hii anyways, sijawahi kuona ukiwa positive linapokuja suala la tech ya mrusi.