Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

Sijakutana hata na mmoja kati yenu hamshabikii Putin, amekua kama mtume kwenu, eti kisa mnadhani mnakomoa Marekani.
Unachoshangaza watu Kila anaekuwa upande wa Russians ww unampachika uislam sijui una shida Gani na hyo dini utakuwa na matatizo kwenye hiko kichwa
 
Unachoshangaza watu Kila anaekuwa upande wa Russians ww unampachika uislam sijui una shida Gani na hyo dini utakuwa na matatizo kwenye hiko kichwa

Kwa mauaji na udhalimu anaoufanya Putin, ili kumshabikia lazima uwe unaendeshwa na mihemko ya kidini, na kwa sasa wafuasi wa dini moja tu ndio wanamshabikia kisa wanadhani wanakomoa Marekani, hata Warusi wenyewe wanampinga kwenye hivi vita, sema wanaogopa kamata kamata za wanaopinga.
 
Ha ha ha ha ha ha unapiga mwingi sana kaka

Embu muwekee imamu taarifa ya kiarabu.
 
Halafu mbona mimi si muislanu. Inaelekea unachukia waislamu kk.

Impacted 1 Million ndo wamekosa gas??
Kwani si ulisema hujaona hiyo impact ya 1m kukosa gas kwenye habari? Umeshapewa ila unahamisha magoli.
 
Ngoja tukukumbushe,ni nyinyi Pro Russia hapa ndiyo siku zote mlikuwa mnatupigia makelele kuwa Kyiv itakuwa majivu ndani ya masaa 72 ya operation.Ukraine wanalinda Nchi yao hawahitaji kwenda kuvamia Russia.Wazee wa Kyiv kuwa majivu mmpo?
 
KIFUATACHO ITV.......NI KILIO NA KUSAGAMENO HUKO UKRAINE
 
Kutokuwa sawa na wewe kiimani ndo nakuwa wa upinde wa mvua? Zenj hapo kulivyojaa ushoga nao ni wa upinde wa mvua?
How comes sasa unamsupport anae wapachika watu dini zisizo za kwao kisa wametofautiana mtazamo katika mgogoro unaoendelea?
 
Na Iraq akivamiwa kwa article ipi ?
Iraq alivamiwa kwa baraka za NATO au za baraka za UNSC? Wale waangalizi wakimataifa walitumwa na NATO UNSC nchini Iraq? Vitu vingine tujiongeze kwa kuzichambua na kuzielewa sheria za NATO na United Nations Security Council. Mpaka hapa mkuu utakuwa ushanielewa
 
aaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…