Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachoshangaza watu Kila anaekuwa upande wa Russians ww unampachika uislam sijui una shida Gani na hyo dini utakuwa na matatizo kwenye hiko kichwaSijakutana hata na mmoja kati yenu hamshabikii Putin, amekua kama mtume kwenu, eti kisa mnadhani mnakomoa Marekani.
Unachoshangaza watu Kila anaekuwa upande wa Russians ww unampachika uislam sijui una shida Gani na hyo dini utakuwa na matatizo kwenye hiko kichwa
Ha ha ha ha ha ha unapiga mwingi sana kakaMaustadhi mnachanganya madesa, Putin alimpa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine, nashangaa kibao kimegeuzwa leo tunajadili udundaji wa Putin kitaa, ha ha ha!!
Halafu unaposema ni propaganda, haya soma taarifa kutoka kwa TASS ya Urusi, au usipoamini hii nitakuletea ya Waarab https://tass.com/emergencies/1539371
Kwani si ulisema hujaona hiyo impact ya 1m kukosa gas kwenye habari? Umeshapewa ila unahamisha magoli.Halafu mbona mimi si muislanu. Inaelekea unachukia waislamu kk.
Impacted 1 Million ndo wamekosa gas??
Mwamba anajua saana kupambana na team russia wa Jf.Dah! Mwamba unanifurahisha unavyonyanyuka nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wape dochi zao watulize mishono.
Ngoja tukukumbushe,ni nyinyi Pro Russia hapa ndiyo siku zote mlikuwa mnatupigia makelele kuwa Kyiv itakuwa majivu ndani ya masaa 72 ya operation.Ukraine wanalinda Nchi yao hawahitaji kwenda kuvamia Russia.Wazee wa Kyiv kuwa majivu mmpo?Purely propaganda from the western countries mediae.
Afu si tulikubaliana kuwa PUT IN mwisho wake ulishakaribia na RUSSIA itakuwa majivu, mbona bado tu anadunda hadi sasa [emoji848][emoji16]
Akili, akili, akili...[emoji124]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
KIFUATACHO ITV.......NI KILIO NA KUSAGAMENO HUKO UKRAINEHili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream".
Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako tayari kulipa mapigo, na wapo tayari kufika kwenye kiwango hakijashuhudiwa tena, kama vipi ageuze mapema, aache uvamizi kwenye nchi ya watu, kiburi hakitamsaidia kitu ila ataendelea kutesa Warusi.
=====================
Massive explosion hits Russian Gazprom gas pipeline amid suspicions of sabotage linked to Putin's war on Ukraine
- Enormous explosion hit one of Russia's major gas pipelines, sending flames and smoke billowing into the sky
- There are fears it may be a 'tit-for-tat' after traces of explosives were found at the site of the Nord Stream blast
- The fireball was visible for miles in every direction today after hitting about 14 miles east of St Petersburg
- Swedish prosecutor claimed sabotage was the cause of the Nord Stream pipeline blasts of September 26
An enormous explosion has hit one of Russia's major gas pipelines, sending flames and smoke billowing into the sky above and prompting fears it was a retribution attack for Vladimir Putin's continued invasion of Ukraine.
The fireball was visible for miles in every direction after hitting about 14 miles east of St Petersburg, the nation's second largest city and Putin's hometown.
One source said: 'Everything is automatic there, and such explosions by themselves, without external influence, are impossible.'
![]()
Explosion hits Russian gas pipeline amid suspicions of sabotage
The fireball was visible for miles in every direction after hitting about 14 miles east of St Petersburg, the nation's second largest city and Putin's hometown.www.dailymail.co.uk
Umepewa mpaka chanzo cha Russia unaishia kusema nonsense [emoji23][emoji23]Nonsense
Halafu hamna sehemu nimesema wamekosa gesi.
How comes sasa unamsupport anae wapachika watu dini zisizo za kwao kisa wametofautiana mtazamo katika mgogoro unaoendelea?Kutokuwa sawa na wewe kiimani ndo nakuwa wa upinde wa mvua? Zenj hapo kulivyojaa ushoga nao ni wa upinde wa mvua?
Mchana mwema kamanda!Hehehe kwamba umejaza picha za mashoga kwenye computer?
Ulitaka nimsupport aliyeingilia nchi ya watu na kutaka kuikalia kimabavu?How comes sasa unamsupport anae wapachika watu dini zisizo za kwao kisa wametofautiana mtazamo katika mgogoro unaoendelea?
Unaipingaje Russia kwa kuwapachika watu dini/imani zisizo kuwa za kwaoUlitaka nimsupport aliyeingilia nchi ya watu na kutaka kuikalia kimabavu?
Hizi tabia zimeanzia kwaoKutokuwa sawa na wewe kiimani ndo nakuwa wa upinde wa mvua? Zenj hapo kulivyojaa ushoga nao ni wa upinde wa mvua?
Iraq alivamiwa kwa baraka za NATO au za baraka za UNSC? Wale waangalizi wakimataifa walitumwa na NATO UNSC nchini Iraq? Vitu vingine tujiongeze kwa kuzichambua na kuzielewa sheria za NATO na United Nations Security Council. Mpaka hapa mkuu utakuwa ushanielewaNa Iraq akivamiwa kwa article ipi ?
aaaaahIraq alivamiwa kwa baraka za NATO au za baraka za UNSC? Wale waangalizi wakimataifa walitumwa na NATO UNSC nchini Iraq? Vitu vingine tujiongeze kwa kuzichambua na kuzielewa sheria za NATO na United Nations Security Council. Mpaka hapa mkuu utakuwa ushanielewa