Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

Uvamizi ule ulibarikiwa na baraza la usalama la umoja wa mataifa ambalo baraza hilo lilikuwa likiundwa na nchi sita likisimamiwa na USA kipindi kile. Wanachama wa baraza hilo ni USA, CHINA, UK, FRANCE, GERMANY na URUSI. Mgogoro ulikuwa mkali maana Urusi alikuwa hajabariki hapo mwanzo na kwa sheria za UNSC mwanachama mmoja akipinga hilo azimio halipitishwi, ndipo ikaundwa timu ya wachunguzi wa siraha za maangamizi na za kibiolojia. Baada ya report ya hiyo tume ndipo Urusi nae akaunga mkono uvamizi ule. So itoshe watu kuelewe roles na utofauti wa NATO na UNSC
 
Back
Top Bottom