utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
mkuu unamfahamu mtu anayeitwa mwigulu nchemba? Usifanya mchezo, ile machine ni kama savimbi!
Endleleeni kujenga chuki lakini mkae mkijua iko siku mtaumbuka kweupee!
Mmelipua nyinyi wenyewe ili kutia fitna, mnajulikana na ndio mwisho wenu.
Hizo ni siasa za uchochezi kama za mfa maji' kama mna ushahidi wa hayo yaliyotokea peleken kwenye vyombo vya sheria' hzo kafara mnazozitoa nyinyi cdm na kusingizia CCM zitawatokea puani' tumekuwa na vyama vingi vya upinzani nchi hii na Afrika kwa ujumla ila sijaona chama chenye siasa za kipuuzi na kipumbafu kama cdm kisichojua hata thaman ya uhai wa watu?????
mkuu kwa nature ya tukio muhusika sikufanikiwa kumuona usoni.Mkuu Daudi Mchambuzi kuna member humu nimemnukuu akisema mrushaji ni mtu mwenye asili ya kisomali je kwa ulivyomuona wewe ni kweli huyo mtu anafanania na msomali?
unaandika kwa sababu una chuki, unapotosha na kudanganya..shame on you
Ww ukiandika uongo wako, watu wenye akili timamu wanatafakari na kupima kisha wanachambua mchele na chuya lakini wale wenye akili kidogo pengine km ww watameza jinsi ilivyoTuliokuwa uwanjani tumeshuhudia polisi wakipiga risasi watu walio kuwa wakikimbia kujiokoa katika bomu pia kuna dada alimwona mrusha bomu lakini alivyokuwa akimnyoshea kidole nakumkimbiza ndipo polisi walivyomtandika risasi nakumchukuwa mrusha bomu nakutokomea naye. Huu ni ukweli na siyo chuki.
Chris Lukosi, unajua sometimes unaboa sana na post zako! Usichokijua wewe kuhusu mbinu za CCM kuua watu kwenye mikutano ya CHADEMA ni kipi? Yalitokea mauaji ya Arusha Morogoro na kwingineko, CCM mkapaisha sauti kusema CDM wanaua watu. Kama si tu picha za mnato zilizopigwa kwenye tukio la mauaji ya Mwangosi, ile kesi ingeshakuwa ni ya CHADEMA pia maana tayari Kamhanda alishatangaza kwamba wananchi walirusha kitu chenye ncha kali!Endleleeni kujenga chuki lakini mkae mkijua iko siku mtaumbuka kweupee!
Sasa unamuuliza nani?Inasikitisha sana; poleni sana wafiwa; hivi ni kwanini kila tukio baya ni Arusha? Ipo haja ya kulifanyia uchunguzi kwa kina; raia wasio na hatia kupoteza maisha bila sababu yoyote ya msingi ni jambo ambalo linaudhi na linakerehesha; yaani haya yote kwasababu ya uchaguzi wa madiwani wa kata nne tu? Matokeo hayo yatabadali kitu gani mpaka mdiriki kuua watu bila sababu?
Soma hapa! http://freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=50355 Acha kubwabwaja kama umemeza pili pili bila kutafuna. Kama na gazeti limeandika uongo, basi lifungieni, au lipelekeni mahakamani.Ww ukiandika uongo wako, watu wenye akili timamu wanatafakari na kupima kisha wanachambua mchele na chuya lakini wale wenye akili kidogo pengine km ww watameza jinsi ilivyo
Nakumbuka Ludovick alipojiteka, alijitahidi sana ku act ili ajiondoe mbali kabisa na watuhumiwa ili na yeye aonekane victim.
Ww ukiandika uongo wako, watu wenye akili timamu wanatafakari na kupima kisha wanachambua mchele na chuya lakini wale wenye akili kidogo pengine km ww watameza jinsi ilivyo
Sasa unamuuliza nani?