Bondia Hassan Mwakinyo arusha jiwe gizani, aponda mabondia wanaolipwa Sh milioni 5

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu.

Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani?

“Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu. Uanze ngumi hujashika hata milion 10 mapambano yako milion 3. Milion 5 Gademn🤑🤑 kazeni nanyi mlipwe dolar,” – Hassan Mwakinyo.

277602434_394966012073131_7658223825829098420_n.jpg
 
Hapa nae kaleta uswahili, ukiwa professional mambo kama haya hayatakiwi, mie nilikiwa namsapoti hili la kugoma kucheza na kiduku, lakini kwa haya maneno ya khanga, wapigane tuone huyu wa milioni 3 na yeye wa dola yupi bora.

Asichokijua mwakinyo au nadhani nae anajua ndio maana anamkwepa kiduku, yeye ile kushinda kule Uingereza ni zali la mtende na ndio kilichomuibua, hii ipo saana kwenye michezo tofauti hadi kwenye mziki kina J.I walibahatisha kidato kimoja kisha kimyaaa, ili uonekane bora inabidi uwe unagonga saana vitu vya maana, yeye mwakinyo kilichompa mpunga ni ile bahat ya Uingereza na ndio anatembea nayo, ila uwezo wake akikutana na kiduku yoyote anawezq poteza na hiki ndio anakikwepa akipigwa na kiduku basi kampa shavu kiduku nae ndio anaweza kuanza kuporomoka.

Katika ndondi kadri unavyofanya vizuri ndio mpunga unaingiza, alivymbahatisha yule mzungu ndio kaanza kula mpunga so anamuogopa kiduku anaweza akaanza kukosa mashavu ikitokea kachezea kipigo.
 
Msamehe tu mtu wa Tanga huyu Kuna vitu hawezi vumilia
 
Twaha kiduku ni heavy weight afu mwakinyo ni light weight kama sikosei hawa watu hawawez kubondana kwa kuwa uzito ni tofaut... Kingne mwakinyo kajibu bifu lao tu hapo mzee
 
watanzania kuchukulia mambo kati kati hawajui kwamba afande sele ndo kaanzisha analeta ukanda wanaona jamaa kajibu ndo wanapost
 
Hapa nae kaleta uswahili, ukiwa professional mambo kama haya hayatakiwi, mie nilikiwa namsapoti hili la kugoma kucheza na kiduku, lakini kwa haya maneno ya khanga, wapigane tuone huyu wa milioni 3 na yeye wa dola yupi bora.

Asichokijua mwakinyo au nadhani nae anajua ndio maana anamkwepa kiduku, yeye ile kushinda kule Uingereza ni zali la mtende na ndio kilichomuibua, hii ipo saana kwenye michezo tofauti hadi kwenye mziki kina J.I walibahatisha kidato kimoja kisha kimyaaa, ili uonekane bora inabidi uwe unagonga saana vitu vya maana, yeye mwakinyo kilichompa mpunga ni ile bahat ya Uingereza na ndio anatembea nayo, ila uwezo wake akikutana na kiduku yoyote anawezq poteza na hiki ndio anakikwepa akipigwa na kiduku basi kampa shavu kiduku nae ndio anaweza kuanza kuporomoka.

Katika ndondi kadri unavyofanya vizuri ndio mpunga unaingiza, alivymbahatisha yule mzungu ndio kaanza kula mpunga so anamuogopa kiduku anaweza akaanza kukosa mashavu ikitokea kachezea kipigo.
juzi kashinda tena

NB .ushindani haufai saa zingine ,just live life according to ur rules usimpangie mwana kama haumfatiliii sisi tutamfatiliaa
HALAFU MWAKINYOO NI LIGHWEIGHT NA JAMAA AKO NI HEAVY WEIGHT ,WAP NA WAP?

mbna hii nchi ina vilaza hivi jmn khaa
 
Kindengereko kimekutana na kihaya, lugha gongana.
 
Msamehe tu mtu wa Tanga huyu Kuna vitu hawezi vumilia
Ni kweli, binadamu si wakamilifu, kila mtu na mapungufu yake, hapo sasa ndio umuhimu wa management unakuja, wabongo hiki kinatufelisha, angekuwa na management nzuri labda kisingetokea hiki
 
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu.

Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani?

“Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu. Uanze ngumi hujashika hata milion 10 mapambano yako milion 3. Milion 5 Gademn🤑🤑 kazeni nanyi mlipwe dolar,” – Hassan Mwakinyo.

View attachment 2171511
Alianza hukohuko na ataishia hukohuko

Asisahau tu… Mwenda tezi na omo, marejeo ngamani

Ana very low understanding
 
Ni kweli, binadamu si wakamilifu, kila mtu na mapungufu yake, hapo sasa ndio umuhimu wa management unakuja, wabongo hiki kinatufelisha, angekuwa na management nzuri labda kisingetokea hiki
Hicho alichokiongea mwakinyo kimemfelisha vipi kwenye career yake ya ngumi? Fafanua kidogo tuelewe
 
juzi kashinda tena

NB .ushindani haufai saa zingine ,just live life according to ur rules usimpangie mwana kama haumfatiliii sisi tutamfatiliaa
HALAFU MWAKINYOO NI LIGHWEIGHT NA JAMAA AKO NI HEAVY WEIGHT ,WAP NA WAP?

mbna hii nchi ina vilaza hivi jmn khaa
Sio kweli, Kiduku sio Heavy weight.....
 
Back
Top Bottom