JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Msamehe tu mtu wa Tanga huyu Kuna vitu hawezi vumiliaHapa nae kaleta uswahili, ukiwa professional mambo kama haya hayatakiwi, mie nilikiwa namsapoti hili la kugoma kucheza na kiduku, lakini kwa haya maneno ya khanga, wapigane tuone huyu wa milioni 3 na yeye wa dola yupi bora.
Asichokijua mwakinyo au nadhani nae anajua ndio maana anamkwepa kiduku, yeye ile kushinda kule Uingereza ni zali la mtende na ndio kilichomuibua, hii ipo saana kwenye michezo tofauti hadi kwenye mziki kina J.I walibahatisha kidato kimoja kisha kimyaaa, ili uonekane bora inabidi uwe unagonga saana vitu vya maana, yeye mwakinyo kilichompa mpunga ni ile bahat ya Uingereza na ndio anatembea nayo, ila uwezo wake akikutana na kiduku yoyote anawezq poteza na hiki ndio anakikwepa akipigwa na kiduku basi kampa shavu kiduku nae ndio anaweza kuanza kuporomoka.
Katika ndondi kadri unavyofanya vizuri ndio mpunga unaingiza, alivymbahatisha yule mzungu ndio kaanza kula mpunga so anamuogopa kiduku anaweza akaanza kukosa mashavu ikitokea kachezea kipigo.
watanzania kuchukulia mambo kati kati hawajui kwamba afande sele ndo kaanzisha analeta ukanda wanaona jamaa kajibu ndo wanapostTwaha kiduku ni heavy weight afu mwakinyo ni light weight kama sikosei hawa watu hawawez kubondana kwa kuwa uzito ni tofaut... Kingne mwakinyo kajibu bifu lao tu hapo mzee
Hata hiyo dollar 10,000 kwa kazi ya kupigana inayohatarisha afya mbona hela mbuzi tu?Ni kweli anachosema - watu wanapigana wanagombania crown used -wakati pambano la nje si chini ya dollar 10,000
juzi kashinda tenaHapa nae kaleta uswahili, ukiwa professional mambo kama haya hayatakiwi, mie nilikiwa namsapoti hili la kugoma kucheza na kiduku, lakini kwa haya maneno ya khanga, wapigane tuone huyu wa milioni 3 na yeye wa dola yupi bora.
Asichokijua mwakinyo au nadhani nae anajua ndio maana anamkwepa kiduku, yeye ile kushinda kule Uingereza ni zali la mtende na ndio kilichomuibua, hii ipo saana kwenye michezo tofauti hadi kwenye mziki kina J.I walibahatisha kidato kimoja kisha kimyaaa, ili uonekane bora inabidi uwe unagonga saana vitu vya maana, yeye mwakinyo kilichompa mpunga ni ile bahat ya Uingereza na ndio anatembea nayo, ila uwezo wake akikutana na kiduku yoyote anawezq poteza na hiki ndio anakikwepa akipigwa na kiduku basi kampa shavu kiduku nae ndio anaweza kuanza kuporomoka.
Katika ndondi kadri unavyofanya vizuri ndio mpunga unaingiza, alivymbahatisha yule mzungu ndio kaanza kula mpunga so anamuogopa kiduku anaweza akaanza kukosa mashavu ikitokea kachezea kipigo.
Kindengereko kimekutana na kihaya, lugha gongana.juzi kashinda tena
NB .ushindani haufai saa zingine ,just live life according to ur rules usimpangie mwana kama haumfatiliii sisi tutamfatiliaa
HALAFU MWAKINYOO NI LIGHWEIGHT NA JAMAA AKO NI HEAVY WEIGHT ,WAP NA WAP?
mbna hii nchi ina vilaza hivi jmn khaa
Ni kweli, binadamu si wakamilifu, kila mtu na mapungufu yake, hapo sasa ndio umuhimu wa management unakuja, wabongo hiki kinatufelisha, angekuwa na management nzuri labda kisingetokea hikiMsamehe tu mtu wa Tanga huyu Kuna vitu hawezi vumilia
Alianza hukohuko na ataishia hukohukoBondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu.
Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani?
“Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu. Uanze ngumi hujashika hata milion 10 mapambano yako milion 3. Milion 5 Gademn🤑🤑 kazeni nanyi mlipwe dolar,” – Hassan Mwakinyo.
View attachment 2171511
Mkuu acha kupotosha Twaha kiduku sio heavy weight boxer ni super middle weightTwaha kiduku ni heavy weight afu mwakinyo ni light weight kama sikosei hawa watu hawawez kubondana kwa kuwa uzito ni tofaut... Kingne mwakinyo kajibu bifu lao tu hapo mzee
Hicho alichokiongea mwakinyo kimemfelisha vipi kwenye career yake ya ngumi? Fafanua kidogo tueleweNi kweli, binadamu si wakamilifu, kila mtu na mapungufu yake, hapo sasa ndio umuhimu wa management unakuja, wabongo hiki kinatufelisha, angekuwa na management nzuri labda kisingetokea hiki
Sio kweli, Kiduku sio Heavy weight.....juzi kashinda tena