Bondia Hassan Mwakinyo arusha jiwe gizani, aponda mabondia wanaolipwa Sh milioni 5

Acha tantalila,bondia wa kweli uwa hana mipasho,kama bondia anataka tuweke mnaweka ndio msemo wa mabondia weka tuweke,mwakinyo kama anajiamini apigane na twaha au mfaume kama hataki akae kimya sio kuongea shombo,mpiganaji achagui wa kupigana nae
 
Washindani wake wa kweli wapo Duniani. Tunataka kumuona huko na si kuwabeza mabondia wenzake wa ndani, hata yeye alianzia huko. Tunategemeana aanzishe Taasisi yake binafsi ya kuwapromote chipukizi wanaokuja na kutengeneza soko la nje la ushindani.
 
Sijaisikia ishu ya afande, hebu nipasie niweke mzani sawa, ila katika watu wa kupuuza basi mmoja wapo ni afande sele, kawa chizi mnoo, mtu akishaanza kujiona anajua saana badi ndio kaanza ujinga hapo.
 
kuna video anahojiwa kuhusu twaha kiduku kishinda anaanza kumponda mwakinyo
 
Twaha Kiduku lazma amdunde tu kwa hasira😂
 
elimu imekusaidia nn zaidi kushobokea wazungu tu tafuta pesa utakuja olewa
Watu wa Tanga mna ujinga mwingi mmojawapo ni kama huu wako unawaza kuolewa tu.

Umejaa ukanda Sana wakati wenzio tunasema ukweli hapa.
 
Sijaisikia ishu ya afande, hebu nipasie niweke mzani sawa, ila katika watu wa kupuuza basi mmoja wapo ni afande sele, kawa chizi mnoo, mtu akishaanza kujiona anajua saana badi ndio kaanza ujinga hapo.
 
Attachments

  • Kiukweli mimi ni binadamu pia nimecheka labda anibahatishe na kifo hiko iwe ni siku Yangu tu i...mp4
    3.5 MB
Huyo mtoto anti mwakinyo anaongea pumba gani kutaka kujifanya kama sio mmbongo!

Mshamba sana dogo, yani amepata umaarufu na kaela kidogo anawaona wenzie wa local wakati alikuwa anapigana na matairi ya magari hapo michungwani!
 
sitahdi ufike level zile hakuna ambaye hakuanzia chini , hata bill gates leo na kina jack ma wameanzia chini ndo maana wako pale ila washapta wanachofanya mpaka vitabu vyao mnanunua kuwasoma mbona hamuachi kununua kwa vile walikuwa wa mchangani

mwakinyo ameshafika juu wacha aongee anachotaka wivu mbaya sana
 
Hivi mwakinyo anajikutaga nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...

Bwana Bendera Chuma mlingoti Chuma Show Show
 
Njia aliyopitia mpaka kuwa maarufu ndio imemfanya aandike hvyo.
 
Sasa huyu jamaa anatesekaje kwa mafanikio ya kiduku?? Watu wa pwani shida sana
 
Kwa mtu muungwana hakutakiwa kuandika maneno hayo.Uwezo na njia za kumfikisha hapo hajajipa yeye kapewa na Mungu alitakiwa wape changamoto za kupambana zaidi lakini siyo kuwarushia madongo.Nani ajuaye kesho? Mwakinyo mwenyewe anaweza kujikuta kesho hawezi kupigana Tena halafu aliwadharau wakapanda zaidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…