Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Mwambie twaha afanye kiingirio laki moja kama watakuja watuUnaona ulivyo vurugwa.
Wewe Kwa akili yako ndogo tuu! Wanaingia pale kwenye kutazama hii michezo ya masumbwi wanafikisha hiyo pesa, hata wanaodhamini matangazo wakati onyesho linaendelea unafikiri ndio itamfanya yeye apewe hizo 100m?
Tatizo Lenu mnadhani bongo ni Ulaya!
Hata nikikuuliza wewe ulishawahi kuingia na kulipia ticket uangalie hayo masumbwi si ajabu hujawahi na huna mpango!
Mchezo wa masumbwi upo chini Sana Kwa wafuasi, sanasana wakilipwa pesa kubwa ni milioni 15