Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Hata diamond wakati anasema hataki show chini ya milion 10 tulimuoja wa ajabu kweli,kipindi mastar kina dully sykes,TID,Mr. Blue wanafanya show chini ya milion 1,ktk maisha kila mtu anavision yake kulngana na anavyojitazama,tusimkatishe tamaa,unajisikiaje kupigana kwa crown used ya milion 15 huku kuna bondia ambaye umemzidi kila kitu si ajabu nchi jirani tu pambano moja ananunua crown 4 hadi 5??mchezo wa ngumi una hela na wafuasi wengi,tatizo kwa muda mrwfu ulikuwa unasimamiwa na wahuni na unaendeshwa kihuni na wapiganaj wengi hawakuwa na uelewa na thaman halisi ya mchezo wa ngumi walikuwa wanapigana kwa sifa za mtaa,sasa kama mtu amejitokeza kuwajanjarua wengine lazima kizaz kile cha wasioona mbali kimshangae,tumwache tumjadili mwishoni akimaliza career yake kuhusu kauli zake,kama amezitekeleza au zilimshinda?
Muamko wa bongo Fleva na masumbwi ni Sawa?
Bado mchezo wa masumbwi upo kwenye Ujenzi wa foundation wakati Muziki washatika huko wanasimamisha Boma.