Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hujawahi sikiliza interviews zake anasema asilinganishwe na wasanii wa hapa ndani na hizo tuzo ndoaana hashiriki. Haima tofauti na mwakinyo hataki pigana na mabondia wa haa ambao hawajafika level zake na mpunga haba.Lakini Diamond hajawahi kubeza wanaofanya show za ndani📌
Hata angekuwa mimi, watu wanapigana kwa maslahi wakati wananchi wanataka tu mtu apigane tu kama ugomvi wa mtaani.
Mimi nilimwelewa niliposikiliza interview yake aliyofanya na salama.
Alisema unakuta bondia anataka kupigana naye hana kitu cha kupoteza, hata akimdunda hakuna cha zaidi atakachopata ila yeye akidundwa atapoteza zaidi.
Akasema basi kwanza mtu naye atafute apate kitu ndo waje wapigane ili akimdunda apate kitu akidundwa apoteze kitu.